MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
bulyan'hulu ndio Benghazi?Hakuna kigeni juu ya CCM kuiba kura, hili lipo miaka nenda rudi hata mtoto ndogo anajua.
Maana Kila mgombea Urais kuanzia 1995 aliiba kura mpaka Shujaa 2015 aliiba kura na HP akiwa mshiriki pia.
Tunachotaka kuona miaka yote ni watanzania kuchukua hatua dhidi ya haki yao yakuchagua na kuchaguliwa dhidi ya CCM na Serikali yake.
Hata CDM walipokuja na NRNE maana yake walikuwa uchaguzi hauko huru na sio wa haki hivyo ili uchaguzi uwe huru na haki reform lazima zifanyike.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Upepo unavuma vibaya wameishiwa Pozi hadi hao chawa wenyewe
Kwa hiyo unataka useme ccm siyo wezi wa kura! Yaani inahitaji mtu kuthibitisha uhuni unaofanyika kipindi cha uchaguzi? You are not serious at all.Polepole ni jibwa linalobweka bila madhara. Akiambiwa athibitishe anayoropoka hataweza.
Naunga mkono hoja yako, kipande hiki ni muhimu.Ni upumbavu kuendelea kusikiliza hadithi hizi Kila siku bila kuchukua hatua au kuendelea kuomba hisani.
Hakuna jipya kwenye siasa za Tanzania na wizi wa kura wa CCM.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Hii ni hatari na nusu.
Ujanja ni mzuri.Wajanja tunajua hizi njama kitambo sana! Umesikia wanasema wamejiandikisha watu milioni sijui ngapi. Wale ni watu wa NIDA. 😁
Hii nchi ukishaijua, haikusumbui yaani. Werevu wengi hatupigia kura since 2000. Naam
Ya leo imemaliza kila kitu labda sass tuwajue waliotekwa walipelekwa wapiPolepole aendelee kupiga spana mpaka majambazi waliomo ndani ya mtandao wa majambazi wapoteane!
Ujinga unamfumo alafu washindani niccm b kwa kujibu wake sasa hofu yake nini hapo wakati tupo navyama rafiki hakana hoja je kanafanya kazi nida au tumeAlichokisema Leo polepole ndio kashfa kubwa ya kisiasa tokea tupate Uhuru. Kwamba kuna mfumo wa Siri wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA) umeunganishwa direct na (INEC) Kwa manufaa ya ccm kwenye uchaguzi mkuu. Kwamba mfumo huo utatumika kuiba au kuchakata matokeo ya uongo. Polepole ameongea Kwa hisia na kuvitaka vyama vitakavyoshiriki uchaguzi huo vijiridhishe japo vyote ni vya ccm isipokuwa chadema tu ambao ndio wapinzani wa kweli na wamefunga mikono isivyo haki.
Ubaya wa skendo hii ni kwamba haya mambo yakiwahiwa yakaondolewa mapema na mifumo ikawa huru basi mambo yatakuwa sawa japo tutakuwa tushajua dhamira yao ovu ilikuwa ninini. Lakini jambo hili likiachwa bila kufanyiwa kazi hii ni jinai kuu na itabatilisha hata huo ushindi wa ccm. Moderators msifute Wala kuunganisha huu Uzi.
Wewe ulikuwa unaona ni sawa tu tume ya uchaguzi viongozi wake wakiteuliwa na mwenyekiti wa CCM, ambaye ndiye Rais, na ambaye pia ni mgombea urais katika uchaguzi ambao hiyo tume itausimamia?Mkuu zaman tulikua tunahisia tu , LEO LIMETHIBITISHWA NA MWANDAMIZI MWENYEWE ALOHUSIKA KUULETA .
Nadhani ndio Sababu alisema, potelea Mbali Wacha CCM isambaratike ila Taifa Liponye.
Ipo siku itajulikana na mpaka makaburi yao tutayajua.Ya leo imemaliza kila kitu labda sass tuwajue waliotekwa walipelekwa wapi
Kumbe ndio maana Gwajima akasisitiza CHADEMA wapewe minimum reforms kisha wakaipige kwenye uchaguziHii kitaalamu ni kuwa CCM amekuwa, na anaweza kuyachezea matokeo ya chaguzi atakavyo.
"Haya ndiyo ambayo wamekuwa wanayapigia kelele Kenya na Odinga kwa kauli mbiu yao almaarufu, wafungue chungu!"
View attachment 3448602
Kwamba mnaweza kuwa mlikuwapo Kila kitu sawa, ghafla bin vuuu! Tarakimu zikabadilika kuwa zozote. Alisema Cheyo kwenda na mkewe kupiga kura, ati kuwa hata mkewe hakumpigia! Akihusisha tukio hilo CCM labda kuwa na majini!
Hii inajibu sababu za kukataa kwa tume kura kuhesabiwa vituoni, vyama kuwa na vituo vyao vya kujumlishia matokeo na longo longo zote kuhusiana wasimamizi wa uchaguzi wa vyama, kura za mapema Zanzibar n.k. Kumbe zote zimekuwa ni hila!
Kwa mtaji huu, wasimamizi wa vyama wasionunulika au kukaba vilivyo hadi penalty aina za kina Mdude, Soka, Ben na wenzao wangenusurika wapi?
Ameomba msamaha Polepole kwa kuhusika kwenye hili. Kwa hakika ni heri yeye vinginevyo tungeujulia wapi u fedhuli huu? Wanasema ni heri nusu shari.
"Mungu ambariki Polepole, Mungu ambariki TAL. Hatuko mbali na nyumbani"
No Reforms no Election!
Pia soma: NRNE na mazagazaga yake ni mpango wa Mungu. Nani ajuaye kuwa Polepole leo, hatutajua walipo wenzetu waliopotea na yote ya uvunguni?
bulyan'hulu ndio Benghazi?
Tumngojee Askofu Gwajima tarehe 24 ndio swala lake hiloYa leo imemaliza kila kitu labda sass tuwajue waliotekwa walipelekwa wapi