GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
 
Vyombo vya ulinzi na usalama mko wapi wakati ccm wanayafanya haya? Je nyie vyombo na ccm pamoja na lissu nani mhaini?
Unaowazungumzia ndo chanzo cha tatizo.

Wewe umewahi kujiuliza kwa nini Kailima alirudishwa tume ya uchaguzi?

. Ni mmoja wa wasanifu wa lile DUDE la kuibia kura. Integrated systems za CCM, Tume na NIDA hilo ndo DUDE lenyewe.

Dude liliwavusha 2015 wananchi wakaachwa wameduwaaa, imekuwaje. Kailima alikuwa pale.

2020 DUDE lilikuwa limeboreshwa zaidi ndiyo maana magufuli ukashinda kwa kishindo. Wananchi wakaendelee kuduwaa imekuwaje tena??

Sasa jipu limepasuliwa, usaha umetapakaa.
 
Hapa Hoja ,ni mwanaCCM mwandamiza kupigilia msumali .


Unless wewe ni wale CCM wanufaika, mnajaribu kufifisha aliyoyasema Leo POLEPOLE.

Mimi sio hoyahoya.

HP amezungumza Kwa mdomo kama miaka yote inavyozungumzwa Kwa mdomo.
EL naye alikuwa mwana CCM mwandamizi kuliko hata HP.
CHIZA Christopher alikuwa mwana CCM mwandamizi kuliko HP.

Hata HP na JPM walikuwa wanufaika wa wizi wa kura wa CCM lakini hawakuona umuhimu wa kulibadirisha hilo.
Tuache kuwa cheap cheap tujaribu kuwa watu madhubuti wenye misimamo madhubuti.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
H

Hii ni tofauti kabisa hizo za kina lyatonga lipumba nk zilikuwa hearsay Sasa mzigo huu wa polepole ndio haswa wenyewe.

Kipi alichoweka mezani HP zaidi ya kuongeaongea kama wengine walivyoongeaongea?..
Lyatonga aliongea, Dr Slaa aliongea, Lipumba aliongea, EL aliongea, Tundu aliongea na HP ameongea, kifupi wote wameongea na hakuna aliyeweka documents zenye clear evidences ambazo unaweza kwenda nazo mahala kufile malalamiko ukasikilizwa.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Miaka ijayo Mungu akijalia mambo yakawa sawa, tutakuwa tukitazama nyuma kwenye mambo kama haya na kujicheka kwa hasira sana!
 
Pole pole kashasema pa kuanzia. Unataka nini tena.
 
Polepole kafanya jambo la kizalendo. Tungeyajulia wapi haya? Walio unyamazia ubazazi huu siku zote ni muhimu wakawajibika na kuwajibishwa.
nani atawawajibisha? Kibonko yao ni no reform no election
 
Usiamini kila unachoambiwa nampumbavu kama polepole je amesema nani alimpiga lisu risasi?je amesema saa8 yupo wapi?kwanini alidanganya umma kwa kusema chadema nichama cha mbowe?.naleo anasema ndio wapinzani wakweli kaongo sana
 
Ndugu mbona unaripoti tofauti na Dude lilivyo alivyosema Polepole.????

Kuunganisha mfumo wa NIDA na tume ya uchaguzi siyo tatizo.

Tatizo ni pale mfumo unapokuwa integrated na mfumo wa CCM ambako ndo wana fetch data za kuchakachulia. Hii ndo hoja kubwa ya Polepole
 
True story. Hii mambo ya server yakimuua kifo cha utata yule jamaa wa IEBC tume ya Kenya siku chache kabla ya uchaguzi. Yeye ndo alikuwa na password za server ya IEBC.
 
True story. Hii mambo ya server yakimuua kifo cha utata yule jamaa wa IEBC tume ya Kenya siku chache kabla ya uchaguzi. Yeye ndo alikuwa na password za server ya IEBC.

Sasa hapa CCM Wana passwords za chungu. Kuna maelezo zaidi mtu atahitaji hapo? Vipi ukiwa na passwords za vyungu vya bank?
 
Pole pole kashasema pa kuanzia. Unataka nini tena.
Kasemaje mkuu, naomba unidokeze tu kwa kifupi kama hutojali!

Tuanzie wapi?
Hili ni swali muhimu kwangu, naomba usinichukulie kama mmoja wa wahuni humu mtandaoani. Naomba tu jibu.
 
Ni Aibu kubwa sana, ,Tunahitaji Tume wawajibike Kwa KUJIUZULU mara Moja.
Wanaotakiwa kuwajibika ni tume ya uchaguzi, viongozi wa NIDA, wizara inayosimamia NIDA, Viongozi wa CCM.

Kuunda serikali ya umoja wa Kitaifa, serikali ya mpito kusafisha huu uchafu wote, na kuweka mazingira sahihi kabla ya uchaguzi kama tume huru, marekebisho ya katiba, mahakama zinazotenda haki.
 
Kwa mtu mjinga kama wewe huwezi kuelewa jambo kubwa alilolisema leo Polepole. Source of the problem kasema leo.

Kichwa nazi lakini unajifanya mjuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…