Polepole fuata sheria za kazi, saa 3 usiku siyo muda wa kazi

Umekariri maisha na hapa ndipo tulipofika,unakunywa chai ofisini Hadi saa4,unakwenda lunch Hadi saa 9,ukifika saa Tisa na nusu tu haupo
Kazi ya serikali no saa24,ofisi ndio Ina muda wa kufunga
Ndiyo udikteta wenyewe huu.
 
Nadhani na yeye ana familia. Ni vyema kuwa na moyo wa kujitolea kwa manufaa ya taifa. Tuwaombee wasichoke.
Masaa ya kazi yamewekwa kwa maana maalum. Ikiwa tunaona hayatoshi basi tubadilishe kwa utaratibu. Laa sivyo huo ni utumwa.
 
dawa ni kumkatia simu tu kesho mwambie ulikuwa na faragha na mweza wako! hakuna kosa wala shtaka hapa.
 
CCM haijawahi kunga'ara na kuaminika. Kama ingekuwa inang'ara na kuaminika, mabegi meusi yaliyojazwa kura feki za jiwe na CCM yake kwann yalitapakaa nchi nzima siku ya kupiga kura?

Trump anatafuta wafuasi wa aina yako mpige kazi!
 
Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi.

Yaani anataka mambo ya kiofisi (ya kikazi) yatolewe ufafanuzi muda wa kukaa na familia ama kustarehe.

Anachokifanya mhe Polepole siyo udikteta?
Mbona anakiuka sheria na taratibu za kazi?

Watendaji wakitoa takwimu ama taarifa zinazokinzana watalaumiwa?
Wakigoma kupokea simu watendaji hawa watalaumiwa?
Ivi kumbe bado ni katibu mwenezi?
 
Dunia ya sas ni ya kazi tena tunapaswa kua field 24 hours ili walau tufike pahala
 
Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi.

Yaani anataka mambo ya kiofisi (ya kikazi) yatolewe ufafanuzi muda wa kukaa na familia ama kustarehe.

Anachokifanya mhe Polepole siyo udikteta?
Mbona anakiuka sheria na taratibu za kazi?

Watendaji wakitoa takwimu ama taarifa zinazokinzana watalaumiwa?
Wakigoma kupokea simu watendaji hawa watalaumiwa?
Ukishakua katika nafasi serikalini muda wowote upo kazini ukiacha yale masaa nane rasmi , ndiyo kulitumikia taifa hivyo, sijaona kosa hapo
 
Wapumbavu ni hao watendaji. Kwani ukimkatia simu atakufanyaje?
Ndugu yangu acha banah, kuna vichwa havifuati sheria za kazi, kwani kumpokelea simu na kumuitikia kuna shida gani, kuna mambo ni heri ujifanye mjinga kuliko ujuaji na ukapoteza ugali
 
Katibu mwenezi wa CCM na Mbunge wa kuteuliwa anaendesha kipindi mubashara cha "Papo Kwa Papo" saa 3 usiku lkn anawapigia simu watendaji wa serikali akitaka watolee ufafanuzi baadhi ya kero za wananchi.

Yaani anataka mambo ya kiofisi (ya kikazi) yatolewe ufafanuzi muda wa kukaa na familia ama kustarehe.

Anachokifanya mhe Polepole siyo udikteta?
Mbona anakiuka sheria na taratibu za kazi?

Watendaji wakitoa takwimu ama taarifa zinazokinzana watalaumiwa?
Wakigoma kupokea simu watendaji hawa watalaumiwa?
Ni kazi kazi, utapumzika ukistaafu
 
Vipi kipindi cha papo kwa papo? Anakiendesha Shaka sali? namuona Ustadhi tu.
 
Back
Top Bottom