Polepole, huna ubavu wa kisiasa, you are overrating yourself!

Ana unafiki wa hali ya juu mno mi huwa najiuliza hivi huyu ndie polepole wa nyakati za kukusanya maoni ya katiba mpya au ??amekuwa ni mtu wa ajabu sana kumbe ni msaka fulsa tu hana hata anachokiamini.
 
Kwani Polepole ana hoja ipi ya msingi? Yaani nini hoja yake na ikiwa anayo anataka nini Ili hiyo hoja yake ikamilike au itekelezwe? Binafsi sikuwa kumuona Polepole akiwa na hoja hata mara moja (tangu enzi hizo) zaidi ya kumuona mpayukaji tu.
Naona umesha panic.
 
Polepole anajijua😃😃😃😃

Ufunuo 3:15-16​

Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.​

Ana unafiki wa hali ya juu mno mi huwa najiuliza hivi huyu ndie polepole wa nyakati za kukusanya maoni ya katiba mpya au ??amekuwa ni mtu wa ajabu sana kumbe ni msaka fulsa tu hana hata anachokiamini.
Na hawa ulijiuliza?
Au ndio promotion ya unafk wa hali ya juu unaousema.
 
Hapa sio sehemu ya mahubiri.
Halafu Polepole anavyobadilika badilika kwenye katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni baridi au moto?
 
Mbele ya umma wa wanachi wa kawaida polepole ana ushawishi mkubwa na anaeleweka.
Ikipendeza kwa vibrant democracy tuliyonayo angepewa nafasi akatoa mawazo yake na yakasaidia ccm.
 
Mkuu ndiyo maana nimeweka hiyo clip ya Polepole na ma V8.
Historically Polepole hajawahi kuwa Thinker, kwa maana ya kuelezea siasa from principles.

Polepole hana principles zozote to speak of.
 
Hebu orodhesha hizo hoja za Polepole zinazohitaji majibu?! Halafu siyo hoja kila moja zinatakiwa kujibiwa hasa wapiga kelele kama huyu. Polepole anatakiwa kuonywa vikali aache kelele badala ya kupoteza energy kumjibu.
 
Mkuu ndiyo maana nimeweka hiyo clip ya Polepole na ma V8.
Historically Polepole hajawahi kuwa Thinker, kwa maana ya kuelezea siasa from principles.

Polepole hana principles zozote to speak of.
Polepole kwenye issue ya Katiba pendekezwa alikuwa na "mawe" namkumbuka vizuri sana, na bado ninaamini hicho kichwa chake bado kina yale "mawe" kama ni kumuhukumu kwa alichowahi kusema, wanasiasa wangapi wamewahi kwenda kinyume na misimamo yao na bado leo wakiongea tunawasikiliza?
 
Hebu orodhesha hizo hoja za Polepole zinazohitaji majibu?! Halafu siyo hoja kila moja zinatakiwa kujibiwa hasa wapiga kelele kama huyu. Polepole anatakiwa kuonywa vikali aache kelele badala ya kupoteza energy kumjibu.
Msubiri baadae saa tano asubuhi.
 
Usemage pole pole sio kumtisha mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…