Mpuuzi tu huyo,ametesa sana Watanzania,na mpaka sasa anatembea na List ya watu ambao anadai ni Wahuni ambao ilikuwa wauwawe na serikali ya Awamu ya 5Polepole amezaliwa na kukulia maisha ya kitumishi (wokovu)
Geeetheee geeeetheeeeeKumbe Polepole ni msukuma [emoji1][emoji1]
Kwani na tundu lisu si alikuwa anatoa naomi yake yake ambayo kisheria yaliruhusiwa??? Mbona alimimiwa risasi kama kifaru na akaitwa majina yote mabaya?????Polepole avumiliwe tu atoe maoni yake, ni haki yake kisheria, na naona itapendeza zaidi kama hoja zake zikijibiwa kwa hoja sioni sababu ya ku-refer alikotoka au alichowahi kusema.
Nasema hivyo nikiwa na maana kwamba, Polepole asijekuwa na pointi ya msingi halafu tukashindwa kuisikiliza kwasababu ya kumuhukumu kwa past.
Inajulikana wapo baadhi ya wanasiasa waliowahi kuongea pumba siku za nyuma lakini leo wakiongea tunawasikiliza, kwanini isiwe hivyo kwa Polepole?
CCM ya sasa haiwatambui wasukuma japo wasukuma wameibeba ccm tangu enzi na enzi.Geeetheee geeeetheeeee
Inabidi sukuma gang wajipange kwa maisha mapyaCCM ya sasa haiwatambui wasukuma japo wasukuma wameibeba ccm tangu enzi na enzi.
Ngosha Polepole rudi usukumani ukalime pamba [emoji1]
Na waliibeba ccm kijinga mno, sasa akili iwarejee waachane mazima na hilo lichama la Nyerere lililowaletea umaskiniInabidi sukuma gang wajipange kwa maisha mapya
Pole yao sukuma gang woote popote pale walipoNa waliibeba ccm kijinga mno, sasa akili iwarejee waachane mazima na hilo lichama la Nyerere lililowaletea umaskini
Ccm hainaga urafiki wa kweli ni sawa na fisi tuNa waliibeba ccm kijinga mno, sasa akili iwarejee waachane mazima na hilo lichama la Nyerere lililowaletea umaskini
If he’s so irrelevant and such a worthless piece of shit, why are you all obsessing on him then? Let him do his Shule ya Uongozi thing in peace.View attachment 2040058
Polepole yupo katika mood ya kuchanganyikiwa kisiasa.
He has not been a bright fellow all along.
He is not even a Thinker.
Opportunist?-YES.
Polepole alichomoza wakati wa mjadala ya Katiba Mpya, na hadi leo sijui alikuwa akimuwakilisha nani, maana alikuwa aki blast the Political Status Quo.
Wakati wa JPM na hata baada ya kupata madaraka, maajabu yakatokea.
AKASIFIA MA V8
Na raha zake, pamoja na AC zake!
Pamoja na ushamba, ile ilikuwa stark exposure ya opportunist Polepole.
Hizi ndiyo dalili za material opportunism!
Sasa yuko mitaani baada ya mentor wake Magufuli kufariki.
Ati akaanzisha Darasa la Siasa.
WHOM IS HE FOOLING?
Polepole hana mizizi ya kisiasa
Polepole hana ubavu wa mali wala wa kisiasa.
Polepole hana wafuasi wowote kisiasa, hana appeal yoyote.
Kuwatetea machinga ni ile opportunists appeal kujaribu kupata political capital.
It failed miserably!
Mimi namshauri Polepole aingie mitini tu, kama Bashiru.
No body will miss him.
Hajawahi kuwa MsukumaMsukuma mwenzenu sasa mnaanza kumtenga kisa baba yake kafa?
Hutaki au?Hajawahi kuwa Msukuma
When shit hits the ceiling fan, one has got to protest-at the consequenes, abnoxious smell all over!If he’s so irrelevant and such a worthless piece of shit, why are you all obsessing on him then? Let him do his Shule ya Uongozi thing in peace.
Kweli kabisaCcm hainaga urafiki wa kweli ni sawa na fisi tu
Leo hii Bulembo anamuona jiwe kama alikuwa analikwamisha taifa wakati huyo huyo Bulembo alisimama bungeni kuraka Jiwe aongezewe kipindi cha uongozi.Kweli kabisa
Ukiona wahuni hamlali mko bize nae hadi kumvamia basi jua mzalendo huyu polepole anawanyima usingizi.View attachment 2040058
Polepole yupo katika mood ya kuchanganyikiwa kisiasa.
He has not been a bright fellow all along.
He is not even a Thinker.
Opportunist?-YES.
Polepole alichomoza wakati wa mjadala ya Katiba Mpya, na hadi leo sijui alikuwa akimuwakilisha nani, maana alikuwa aki blast the Political Status Quo.
Wakati wa JPM na hata baada ya kupata madaraka, maajabu yakatokea.
AKASIFIA MA V8
Na raha zake, pamoja na AC zake!
Pamoja na ushamba, ile ilikuwa stark exposure ya opportunist Polepole.
Hizi ndiyo dalili za material opportunism!
Sasa yuko mitaani baada ya mentor wake Magufuli kufariki.
Ati akaanzisha Darasa la Siasa.
WHOM IS HE FOOLING?
Polepole hana mizizi ya kisiasa
Polepole hana ubavu wa mali wala wa kisiasa.
Polepole hana wafuasi wowote kisiasa, hana appeal yoyote.
Kuwatetea machinga ni ile opportunists appeal kujaribu kupata political capital.
It failed miserably!
Mimi namshauri Polepole aingie mitini tu, kama Bashiru.
No body will miss him.
But if he's a nobody, a flea to an elephant, why worry so much about him in the first place?When shit hits the ceiling fan, one has got to protest-at the consequenes, abnoxious smell all over!