Sasa kweli kumekucha baada ya tathmini iliyotolewa jana na vyombo vya kimataifa vinavyofuatilia kampeni za Uchaguzi hapa Tanzania,Chama Cha Mapinduzi kimeonekana kushuka sana na kukifanya kionekane kinazidi kuachwa mkono na wananchi na kimekuwa na asilimia 27.
Mwitikio wa wananchi umeonekana kushuka sana mbali ya kuwepo wasanii wa kila aina tofauti na siku ya uzinduzi huku Chadema wakionekana kuzidisha idadi ya wanaohudhuria kila wanaposogelea tarehe ya uchaguzi.
Tathmini Hio imeonyesha kupanda kwa chati ya mgombea wa Chadema kwa asilimia 71 huku ACT wazalendo mgombea wao haijulikani alipo na vyama vingine vikibaki na asilimia mbili.