Uchaguzi 2020 Polepole: Kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni. CCM tunafanya kampeni za kisayansi

Ccm Ni wahuni tu,
 
Title haiendani na main body ya thread hii! Vitaje, vyombo hivyo vya kimataifa tuanze kufuatia!
 
Mgombea wao kakimbia kampeni chezeya lissu wewe?
 
Me ni sawa na babu yako!! Yaani nilimzalisha mama wa baba yako!!

Wewe UVCCM mbona kama umepaniki hivi! Ni baada ya mgombea wako kukimbilia mafichoni baada ya pumzi kukata, au ni kwa sababu ya kutolipwa ujira wako wa buku 7 kwa wakati?
 

Huu unaweza kuwa ukweli mtupu ila ungeweka link ingekuwa hoja hii ingekuwa na nguvu zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…