Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,624
- 1,937
Amesema Juzi alikuwa Paje PembaHuyu jamaa ipo siku atakuja kuongea vitu ambavyo watawala hawapendi wananchi wavijue
Maana kilasiku anakuja na jambo jipya.
Aliyewalipua Wahaini wa early 1980s ni Taxi driver 😄🥷Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe bodaboda kweli?
Bodaboda wanapewa mambo mengi mzazito bila wao kujua wala kustukiwaPolepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe bodaboda kweli?
Aliyewalipua Wahaini wa early 1980s ni Taxi driver 😄🥷
Paje ni karibu na Kizimkazi, atakuwa Ana shughuli maalum hukoAmesema Juzi alikuwa Paje Pemba
Kawaida sanaHata fundi saa anaweza kulipua ila bahasha kama hiyo inaweza kwenda bila kufungwa? Maajabu.
Hapana.Polepole unarembaremba nini, mwaga kila kitu bhana! Usisubiri mpaka wakuvamie hapo Mwananyamala Komakoma
Polepole ni mjinga tu. Anaokotezaokoteza maneno hata hayaeleweki.Huyu jamaa ipo siku atakuja kuongea vitu ambavyo watawala hawapendi wananchi wavijue
Maana kilasiku anakuja na jambo jipya.
Hiyo meseji anawatumia wahusika ni codeHata fundi saa anaweza kulipua ila bahasha kama hiyo inaweza kwenda bila kufungwa? Maajabu.
Jamaa mbona ni kama anatunga script hiviPolepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe bodaboda kweli?