Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

Polepole's Silver Tongue, albeit not being able to cause an abrupt chaos within the party ranks, it is surely confirming the suspicions ordinary people had concerning JPM's death.

If this goes on for atleast two months, there is going to be a lot of vitriol and bile against the ruling aristocrats and their families.

And one day he'll make utterances that will completely tear down JK's Old Legacy like an old garment. Right now he's giving the dogs bad name.​
 
Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!

Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.

Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!

Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.

Nimetafakari sana, wacha tuone!​
Nimekusikia ndugu gpsum spana
 
Tatizo ya haya mambo hata kama ni kweli au sio kweli they can never be proved zaidi ya kwenda kwenye He Say..., She Say.....

Hivyo ni vema tukajikita on the Now na mambo yanayotokea sasa hivi mengine hata hayahitaji evidence sababu yanaonekana wazi (mfano kutofuata Kanuni au kutokuwapatia watanzania Value ya Kodi zao na kuendelea na hizi Sinema za Demokrasia kwa gharama kubwa)
 
Back
Top Bottom