Nedago
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 1,137
- 1,802
Okotezaokoteza Na Ww UwekePolepole ni mjinga tu. Anaokotezaokoteza maneno hata hayaeleweki.
Press Kama Slow
Uone Kama Ni Rahisi.
Okotezaokoteza Na Ww UwekePolepole ni mjinga tu. Anaokotezaokoteza maneno hata hayaeleweki.
Huijui nguvu ya watu wa kawaida wewe.Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Ni kawaida..Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Anarembaremba mwandiko,Polepole unarembaremba nini, mwaga kila kitu bhana! Usisubiri mpaka wakuvamie hapo Mwananyamala Komakoma
Black slimSoon atamtaja aliyemchomoa betri john
Kwani kuna kiongozi wa awamu ya 5 hatakufa?Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!
Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.
Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!
Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.
Nimetafakari sana, wacha tuone!
Hawezi kumwaga kila kitu kwa sababu nia yake si kusema ukweli.Polepole unarembaremba nini, mwaga kila kitu bhana! Usisubiri mpaka wakuvamie hapo Mwananyamala Komakoma
Aongee mara ngapi? Mbona kama hii kauli inaonesha Dkt Magufuli aliuawa!Huyu jamaa ipo siku atakuja kuongea vitu ambavyo watawala hawapendi wananchi wavijue
Maana kilasiku anakuja na jambo jipya.
Ukiweza kufungua codes utaelewa.Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Namba 1 ndiye muuaji na inajulikana. Sema JK nampenda pamoja na kuwa ni master ila ni msiri sana. Namba moja alishindwa kutunza siri akaanza kuropokaKuna mtego uko hapo au?! Je, kamtarget namba 1, asiendelee na awamu nyingine au?
Au anataka kumwaga mboga kwa kutuambia namba 1 ndiye muhusika au? Mimi sijui ila akiendelea ataleta taharuki siku za usoni, wakae naye wajue dhamira yake ni nini na kwa taifa pia
Polepole is just a mere loser. Wala taarifa zake siyo "breaking news kihivyo" maana anayoongea ni majungu ya mtu aliyepotezwa kwenye ramani.Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!
Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.
Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!
Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.
Nimetafakari sana, wacha tuone!
Ukiambiwa sabini utamsaidia malezi?au kimuhemuhe ni kwa kuwa ni alikuwa kiongozi wa kitaita tena kwenye moya ya mhimizi muhimu mno sawa na dereva wa kulifikisha taifa kwenye safari iliyo salamaa?Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!
Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.
Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!
Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.
Nimetafakari sana, wacha tuone!
Miwatu kama nyie ndio mnasababisha viongozi wetu kuombewa mabaya na Wananchi!Polepole is just a mere loser. Wala taarifa zake siyo "breaking news kihivyo" maana anayoongea ni majungu ya mtu aliyepotezwa kwenye ramani.
Samia anachukua fomu kesho INEC na Oktoba TUNATIKI
Slow slow ni miongoni mwa IQ kubwa ndani ya pori la manyasinyasi ya kijani.Slowslow apimwe akili, huenda kaadhirika kisaikolojia.
Maana anasema vya ndani, mwisho atoe siri zilizo siri kwa hari na mali.
mda si mrefu atanyamazishwa.
Kila jambo lina wakati na nafasi yake mkuu. Kwa akili yako unataka kusema kuwa kipindi hicho angeamka tu ghafla na kusema hayo aliyoyasema?Hapana mkuu Kuna vitu ukimtengenezea MTU taswira Fulani alafu aone tofauti inashusha shauku na maswali kibao. Tangu magufuli kafariki ni Miaka mingapi? NDO hayo yasemwe Leo mkuu tena KWENYE uchaguzi? JE haziwezi kuwa fitna za chaguzi?
Kwishaaaa