Laptop01
JF-Expert Member
- Nov 29, 2009
- 1,426
- 887
Kwani ulikuwepoooo?!Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?

What if kama katudanganya ili source isijulikane,Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Hakuna la ajabu hapo. Ht humu jf tuliambiwa Ngosha atakufa, the same ht ss hv twaambiwa Samia atauawaLeo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!
Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.
Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!
Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.
Nimetafakari sana, wacha tuone!
Ana wateja wake huyo ambao wanamwamini kwa kila asemalo kuliko ht LissuPolepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
What if kama katudanganya ili source isijulikane,
UongoAcheni kupoteza muda na polepole ni project ya kitengo kuwatoa kwenye reli ishu ya NO REFORMS NO ELECTION
Iendelee kunyesha tuone panapovujaLeo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!
Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.
Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!
Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.
Nimetafakari sana, wacha tuone!
sie kazi yetu kusikiliza udaku wowote utakaoletwa, umetokea wapi hiyo haituhusuUnaweza kuwa sahihi pia. Lakini kwa kitu kama hicho ukishalipua ni lazima source ijulikane. Siamini kama kazi kama hizo zinaweza kufanywa na watu wengi.
Kitengo kinatengeneza upinzani feki ndani ya CCM ili kudivert attention ya ya umma juu ya upinzani halisi wa nje ya CCM.Si mpaka akili ya mtu iwe sharp ndo aelewe ulichoandika..
We kwa akili ya kawaida eti kulikuwa na list kwenye bahasha ya majina nalake likiwepo.
Halafu wakaweza kumuua Rais mwenye ulinzi mkali wakashindwa muua yeye mpaka leo yupo tu..
Na amefanikiwa kuwatoa watu kwenye reli wakishtuka uchaguzi huu hapa.
Hivyo vitu uwa wanapewa watu wa kawaida wasiojua kufungua codePolepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Una hoja nzito sanaKitengo kinatengeneza upinzani feki ndani ya CCM ili kudivert attention ya ya umma juu ya upinzani halisi wa nje ya CCM.
Kitengo kinajua umma unahitaji upinzani, ila kwa sababu kimeupiga pini upinzani halisi wa CHADEMA kinawapeni upinzani feki wa Polepole ili mhangaike nao.
Narudia tena, hakuna hero katika CCM ya leo anayeweza kuacha mpunga mrefu wa ubalozi kuja kupambana na Amir Jeshi mkuu eti kutetea taratibu za CCM. Hakuna
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Mkuu hata mimi leo nilivyoanza niliweka screen mbili mpja nanenane kwa Ssh moja kwa slow slow polepole.Polepole ameanza kuniprove wrong. Inshort NAANZA kumpuuzia anaweza kua Yuko wright ila ana ongeza chumvi. Alafu anapanga tukio kubwa unasubiri ila akifanya halifanyi kwa ukubwa ulio kusudiwa SIKU HIZI hata simfatilii
Kwishaaaa
Yeye +mpina kwani wameshafukuzwa uwanachama wa CCM?Kitengo kinatengeneza upinzani feki ndani ya CCM ili kudivert attention ya ya umma juu ya upinzani halisi wa nje ya CCM.
Kitengo kinajua umma unahitaji upinzani, ila kwa sababu kimeupiga pini upinzani halisi wa CHADEMA kinawapeni upinzani feki wa Polepole ili mhangaike nao.
Narudia tena, hakuna hero katika CCM ya leo anayeweza kuacha mpunga mrefu wa ubalozi kuja kupambana na Amir Jeshi mkuu eti kutetea taratibu za CCM. Hakuna
Akili zichaji kwa hizi ngonjera za Polepole?Wabongo mnaitaji akili zenu zichaji kama wanaijeria ..mko lazy sana ..mnaboa...
Unafaham mchezo wa CHESS
Nadharia njamaLeo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!