Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

Miwatu kama nyie ndio mnasababisha viongozi wetu kuombewa mabaya na Wamachi!
Tatizo liko wapi? Mfa maji huyu hana lolote zaidi ya kubwabwaja. Hawa na Magufuli walijifanya miungu watu. Pumbavu kabisa.

Kama umekwama kimaisha usidhani kuwa maneno ya Polepole yatakukwamua. Fanya kazi au endelea kumsikia mpumbavu huyo
 
Kwa nini kipindi kile ameambiwa a kujitokeza kusema mapema wananchi tukajua
Tulia dawa iingie, Bwashee. Yaani, kuna watu kwa sasa wakisikia tu jina la Polepole, mapaja yanatetemeka… hahaha!
Lakini ukweli ni kwamba muda ni mwalimu mzuri sana, na huu ndio wakati wake sahihi wa kuzungumza haya. Zaidi ya yote, anaeleweka kwa urahisi kuliko wakati wowote ule.
 
Bado.hujanijibu ...nauliza kua kwahio chama.kimekubali kimtumie jk kuchafua image na jina lake kwa haya yanayoendelea ili ku divert upinzani wa nje usionekane na jk kakubali?
Siku Polepole atakapojitokeza na kuomba msamaha kupitia vyombo vya habari "kwa wote aliowasema vibaya" kama jinsi Musiba alivyojitokeza jana na kuomba msamaha kwa wote aliowakwaza miaka 7 iliyopita ndo utaelewa hizi gemu zinachezwaje!. Ujasusi ni game dirty yenye kutumia akili nyingi.
 
Polepole ameanza kuniprove wrong. Inshort NAANZA kumpuuzia anaweza kua Yuko wright ila ana ongeza chumvi. Alafu anapanga tukio kubwa unasubiri ila akifanya halifanyi kwa ukubwa ulio kusudiwa SIKU HIZI hata simfatilii



Kwishaaaa
Tulia Bwashee unataka upate dozi yote kwa wakati mmoja ??
 
Si mpaka akili ya mtu iwe sharp ndo aelewe ulichoandika..
We kwa akili ya kawaida eti kulikuwa na list kwenye bahasha ya majina nalake likiwepo.
Halafu wakaweza kumuua Rais mwenye ulinzi mkali wakashindwa muua yeye mpaka leo yupo tu..
Na amefanikiwa kuwatoa watu kwenye reli wakishtuka uchaguzi huu hapa.
Yeye si amesema analindwa na Mungu?
 
Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!

Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.

Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!

Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.

Nimetafakari sana, wacha tuone!​
Utapeli wa kishamba kabisa huo
 
Kifo cha magufuli kina utata sana maana Mwishoni kwenye kampeni mwili wake ulikua umenyongonyea sana sasa sijui peace maker na mwili umenyongonyea vitu viwilli tofauti lakini Kwanini polepole alikua kimya mpaka mda huu wa Uchaguzi?
Tulia dawa iingie, Bwashee. Yaani, kuna watu kwa sasa wakisikia tu jina la Polepole, mapaja yanatetemeka… hahaha!
Lakini ukweli ni kwamba muda ni mwalimu mzuri sana, na huu ndio wakati wake sahihi wa kuzungumza haya. Zaidi ya yote, anaeleweka kwa urahisi kuliko wakati wowote ule.
 
Tulia Bwashee unataka upate dozi yote kwa wakati mmoja ??
Ni kweli mkuu ILA SHIDA hatoi ushahidi, ulimfatilia mange kimambi na inshu ya MAbilioni ya yule poti na wenzake. Karatasi hii hapa unaiona kabisa na unasoma mkuu haya mambo ya mtu alichungulia stupid.sisi SIO watoto. ETI asichukue fomu khaaaa kumbe SHIDA ni madaraka na SI uzalendo kama alivo Nadi. Anampuuza mpina unajiuliza HIVI HUYU ccm wamemtuma kumdhoofisha mpina?


Kwishaaaa
 
Kifo cha magufuli kina utata sana maana Mwishoni kwenye kampeni mwili wake ulikua umenyongonyea sana sasa sijui peace maker na mwili umenyongonyea vitu viwilli tofauti lakini Kwanini polepole alikua kimya mpaka mda huu wa Uchaguzi?
Mkuu HAPO ndo nmepingana na polepole alafu anamchafua mpina anamdhoofisha mpina KWANINI afanye hivo kama hataki ccm wachukue nchi?


Kwishaaaaa
 
Hapa kwa ufupi ameweka wazi kuwa Magufuli aliuawa.

Kusema kuwa huyu wa sasa akichukua fomu atakuwa anawadharau watanzania, anamaanisha alihusika kumtoa uhai boss wake?

Inasikitisha sana kama watu wapo tayari kuwaua wenzao kwa sababu ya madaraka!

Tuukumbuke ukweli huu:

Uuuaye kwa upanga, atakufa kwa upanga.

Jamani vyeo na madaraka ni vitu vya kupita, kwa nini umwuee menzako kwa kitu cha kupita? Hawa wafanyao hivi ni vipofu wa akili na dhamira.
 
Back
Top Bottom