Dah nimecheka sana🤣, au itakuwa ni miaka ya tisiniPolepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Acha kizabizabina unajuaje labda haukuwa wakati wake wa kuzitoa hizo taarifaKwa nini kipindi kile ameambiwa a kujitokeza kusema mapema wananchi tukajua
Ukisikia ushoga ndio huo, sasa hapo ni kipi kikuchekeshe mtoto wa kike?Dah nimecheka sana🤣, au itakuwa ni miaka ya tisini
Zama za leo kweli magari kama yote, si unarequest tu, na hata ukitaka kutuma mbona watumishi kibao wana magari binafsi
Hapa kwa kweli nimeona kichekesho 🤣🤣
Information is power na yeye anataka power ndiyo maana anawagawia kidogo kidogo.Information is power, acha atupe kidogo kidogo maana sie watz wengi vichwa vyetu ni singo phase
Halafu vingine vyote viandikwe kwa codes isipokuwa majina🤣🤣Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Mkuu toeni ushahidi SASA. HIZI taarifa nasi tunazisambaza SA huko tunako peleka tumeombwa ushahidiMange Hana kiapo chochote kama Polepole
Haijafungwa kwa maana ya kuwa haina kufuli, mhuri wa moto, seal, ila inabebeka ndani ya mwili unaoweza kubadilishwa bila kubadilisha kilichomo ndani na aliyekabidhi na kupelekewa asitambue bahasha ile ilifunguliwa pasipo utaratibu na kutambulika kilichomo.Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Du hii hatari sana. Huyu jamaa atakuja kuongea.vitu hatariLeo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!
Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.
Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!
Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.
Nimetafakari sana, wacha tuone!
Hajui kazi zao hao ndio majasusi siku hizi pamoja na boda boda baadhi lakini sio woteAliyewalipua Wahaini wa early 1980s ni Taxi driver 😄🥷
Anaongea utumbo mtupu.Hahaha aliisha jiita chura kiziwi mnadhani atasikia vipi anachoongea Polepole?
Covid19 ndio mchawi wa uhai wa JPM, moyo ulikuwa mbovu ukakutana na tauni ya wakati ule.Duuuh dúuh duuuh duuubh Wakuu kwanza mnisamehee, Leo nilikua bize na Pasuaji za kutosha.
kumbe Polepole anawajua waliomuua Magufuli ??.
Mambo hadharani Sio Siri Tena.
JWTZ inachukua Nchi .
Anatetea tumbo lake na alishapata cheo akakejeli watu kwa kuwauliza unaijua vieite wewe?!.Tatizo liko wapi? Mfa maji huyu hana lolote zaidi ya kubwabwaja. Hawa na Magufuli walijifanya miungu watu. Pumbavu kabisa.
Kama umekwama kimaisha usidhani kuwa maneno ya Polepole yatakukwamua. Fanya kazi au endelea kumsikia mpumbavu huyo
Nakuelewesha iko hiviPolepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Awez kukuelewaBodaboda wanapewa mambo mengi mzazito bila wao kujua wala kustukiwa
Ni maamuzi yakeHawezi kumwaga kila kitu kwa sababu nia yake si kusema ukweli.
Angekuwa na nia ya kusema ukweli angesema yote.
Nia yake ni kujipatia popularity, influence na power.
Hivyo anatoa kidogo kidogo kwa hesabu za kujipanga apate popularity, influenxe na power.