Afcon 2027
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 648
- 1,121
Project ya kuwachafua wenye project???Acheni kupoteza muda na polepole ni project ya kitengo kuwatoa kwenye reli ishu ya NO REFORMS NO ELECTION
Project ya kuwachafua wenye project???Acheni kupoteza muda na polepole ni project ya kitengo kuwatoa kwenye reli ishu ya NO REFORMS NO ELECTION
Mwambie the goal ni kutoacha alamaHivyo vitu uwa wanapewa watu wa kawaida wasiojua kufungua code
Alsema pia hata hao waliokua wanamtuma watakua wanashangaa wao kujua kuhusu hilo....Hiyo ni code imetumwa kwa walengwa
Kumeanza kupambazuka, soon kila kitu kitakuwa waziLeo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!
Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.
Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!
Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.
Nimetafakari sana, wacha tuone!
Atuambie TAL alishughulikiwa na nani???Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!
Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.
Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!
Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.
Nimetafakari sana, wacha tuone!
Who Africa?Black slim
Ni maamuzi yake lakini yanaonesha contradiction kwamba yeye anataka power hataki kuweka ukweli wazi.Ni maamuzi yake
Polepole ni mwanasiasa mwenye mikakati (political strategist). Unachokitaka hutokipata kwa haraka, hivyo tulia upokee dozi hatua kwa hatua. Hata dawa hutolewa kwa ratiba maalum, huwezi kunywa dozi yote kwa wakati mmoja.Ni maamuzi yake lakini yanaonesha contradiction kwamba yeye anataka power hataki kuweka ukweli wazi.
Angetaka kuweka ukweli wazi angeuweka wote.
Ukimsikia mwanasiasa anasema ana mambo mengi na wakimuandama atasema mengine zaidi, ujue huyo nia yake si kusema ukweli nia yake ni mashindano ya kisiasa kupigania wafuasi na madaraka.
Mtu mwenye nia ya kusema kweli atakwambia ukweli wote mara moja tu.
Polepole ni mwanasiasa mwenye mkakati?Polepole ni mwanasiasa mwenye mikakati (political strategist). Unachokitaka hutokipata kwa haraka, hivyo tulia upokee dozi hatua kwa hatua. Hata dawa hutolewa kwa ratiba maalum, huwezi kunywa dozi yote kwa wakati mmoja.
Ulimsikiliza Polepole kweli? Sasa unataka aweke mikakati yake hadharani!? Hahaha, huwezi kuwa serious kabisa.Polepole ni mwanasiasa mwenye mkakati?
Anataka Samia asiwe rais.
Niambie mkakati wake wa kuhakikisha Samia asiwe rais ni upi?
Kamwambia Samia asichukue fomu za kugombea urais.
Samia akichukua fomu, Polepole atafanya nini? Strategy yake ni nini?
Pengeni ndiyo atatoa bomu alilonalo vile pengine nae alihusika kwenye kifo cha mzee kwahiyo ataweka ukweli wote wazi sasa sijui itakuwajePolepole ni mwanasiasa mwenye mkakati?
Anataka Samia asiwe rais.
Niambie mkakati wake wa kuhakikisha Samia asiwe rais ni upi?
Kamwambia Samia asichukue fomu za kugombea urais.
Samia akichukua fomu, Polepole atafanya nini? Strategy yake ni nini?
Kwa hivyo unaamini Polepole ni stategist, lakini hizo strategy huzijui?Ulimsikiliza Polepole kweli? Sasa unataka aweke mikakati yake hadharani!? Hahaha, huwezi kuwa serious kabisa.
Pengine nyingi sana kwenye mambo mazito yanayotaka uhakika hapa umeungaunga tu.Pengeni ndiyo atatoa bomu alilonalo vile pengine nae alihusika kwenye kifo cha mzee kwahiyo ataweka ukweli wote wazi sasa sijui itakuwaje
Afadhali kuunga maana itatumika kuliko kutounga maana haitatumika.Pengine nyingi sana kwenye mambo mazito yanayotaka uhakika hapa umeungaunga tu.
Itatumika na wajinga tu.Afadhali kuunga maana itatumika kuliko kutounga maana haitatumika.