baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Unapenda ubuyuAmesema ana mengi atakua anaachia moja na nusu au mawili
Kwa muda tofauti
Asubuhi na jioni au mchana 😂😂
Unapenda ubuyuAmesema ana mengi atakua anaachia moja na nusu au mawili
Kwa muda tofauti
Asubuhi na jioni au mchana 😂😂
✔️✔️✔️Pigia mstariWho Africa?
Chizi uyoPolepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Makosa hutokea Mkuu!!!Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Mkuu inaweza kuwa ilifungwa ila gundi ilikuwa hafifu ikaachia, inawezekana, ni kawaida tu!!!Hata fundi saa anaweza kulipua ila bahasha kama hiyo inaweza kwenda bila kufungwa? Maajabu.
🤣 🤣 🤣 🔊Hapana.
Aendelee hivi hivi,sisi tunataka iwe kama isidingo. Hadi nyani ateme bungo.
🚮🚮🚮🚮 Mbinu za mwisho za kumpigania mtu wao waliotarajia awe Rais kama SSH asingekaza.Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!View attachment 3436166
Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.
Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!
Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.
Nimetafakari sana, wacha tuone!
Dereva Tax wa kinondoni Mkwajuni na Drive in.Aliyewalipua Wahaini wa early 1980s ni Taxi driver 😄🥷
Mbona amewataja......Ni wanamtamdaowa Rostam ,JK. Nchimbi n.k....na wanaweza hata kumkill presidaa ili kurudisha genge lao rasmi kama zamani🚮🚮🚮🚮 Mbinu za mwisho za kumpigania mtu wao waliotarajia awe Rais kama SSH asingekaza.
Sasa kichaka ni kutumia jina la Mwendazake.
Unadhani Mwendazake hatakiwi kufa Kwa sababu ni Rais au?
Awataje basi hao wa bahasha sijui vitu gani na upuuzi mwingine wa hivyo.
Ndugu, kwani Mbowe si alikuwa anamnanga Samia kwenye Jukwaa la kisiasa, hujui kuwa naye alikuwa kwenye mission?.
Ujasusi ni kuuvaa uhusika, unaruhusiwa kujifanya uko against mtu fulani, ukaongea yote dhidi ya mtu huyo lakini unajua eventually end game ni kulinda mfumo. Wewe unaweza kudhani anamdamage mhusika lakini kwa taarifa yako mhusika hawi damaged na maneno ya Polepole kuliko kile ambacho mission ya Polepole inajaribu kukidivert
We Alshabab huyo Polepole anaongea ukweli, japo tunajua alikuwa ni mfuasi wa Magufuli kufanyia wakosoaji uovu na kuharibi demokrasia ya vyama vingi hapa nchini. Pambana na kinhie ila sio ukweli wake.Na mafala hadi JF wapo wanaamin ngonjera zake na kumuona ni mwanaharakati wao.
Wanawezaje wakati alikuwa na Kila aina ya walinzi na ulinzi?Mbona amewataja......Ni wanamtamdaowa Rostam ,JK. Nchimbi n.k....na wanaweza hata kumkill presidaa ili kurudisha genge lao rasmi kama zamani
Unaamini tutaamini utakavyo?Anaongea utumbo mtupu.
Tuipe muda. Hadi sasa, Polepole tayari ametoa ramani ya nini kinapaswa kufanyika, na tuna hadi mwezi Novemba.Kwa hivyo unaamini Polepole ni stategist, lakini hizo strategy huzijui?
Unaamini katika mikakati ambayo huijui na haiko hadharani?
Sasa kama Polepole anakudanganya tu ana bluff hana mpango wowote wa maana wa kumzuia Samia utajuaje?
My diagnosis: SCHIZOPHRENIA+++Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!View attachment 3436166
Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.
Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!
Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.
Nimetafakari sana, wacha tuone!
Turudi hapa November.Tuipe muda. Hadi sasa, Polepole tayari ametoa ramani ya nini kinapaswa kufanyika, na tuna hadi mwezi Novemba. Kama mambo hayatakuwa yamebadilika kufikia wakati huo, basi tutakuwa na sababu ya kusema ameshindwa. Lakini kwa sasa ni mapema mno kuhukumu. Ni takribani mwezi mmoja tu tangu ajitokeze wazi na kujiengua kutoka kwenye nafasi ya ubalozi. Hakuna mtu aliyetarajia angeanza kwa kulaani moja kwa moja utawala uliopo, na mpaka sasa, hakuna mwingine aliyefikia kiwango hicho cha ukosoaji wa waziwazi isipokuwa Tundu Lissu. Kwa hiyo, mkuu, tuwe na subira.
Sijaelewa, unamaanisha balozi anapokea laki sita au?Polepole angechaguliwa kua makamu wa Rais angesema Aya njaa tu Nchimbi huyo amabae ni makamu kwa sasa kipindi kile cha Lowassa anakatwa alilalamika utaratibu haujafutwa. Leo yeye ni makamu bila kufuata taratibu unaweza kuona kwamba njaa tu
"When you play the game of thrones, you win or you die. There is no middle ground."Turudi hapa November.
Akishindwa kumzuia Samia kuwa rais kama anavyotaka utasemaje?
What is Plan B?