GE2025 Polepole: Kuongea na watanzania Agost 6, saa 2:00 kuhusu mustakabali wa taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mjuba Polepole, umeambiwa uongelee reforms kama kweli we ni mzalendo na hufanyi political syndicate abracadabra. Unaonekana unafanya maigizo kuhadaa wananchi wenye haja na reforms.
Reforms ndani ya CCM ni muhimu pia.
Usikariri
 
Acha wivu,

Reforms zikianzia ndani ya CCM unaumia?

Hakipo kilichobadilika.

NRNE πŸ’ͺ πŸ”₯
 
Gentleman,
kwamba kuna wadau wako serious kabisaa kupotoshwa na mnafiki huyu asie na athari zozote za kisiasa?πŸ’
Ngoja mkamata green mamba awakamate mmoja mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…