Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mbele ya hii Nirvana ya haki, huyu mama anayedhulumu haki za vijana wetu kuishi, haki ya kuabudu, haki ya kufanya siasa, haki ya kuandamana na haki nyingine za msingi, hakika hatoboi, kamwe hawezi kufika mwezi Oktoba. Taarifa rasmi mtazipata katikati ya kampeniPolepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.
hatumtakiPolepole matakko kweli,mama hatakiwi na nani kugombea?
Wewe na nani?..kuna watz 70mhatumtaki
Kwan si alishema ni deaf frog 😀😀😀Huyo mama mwenyewe anasikia sasa?
na wazalendo wenzangu watanganyikaWewe na nani?..kuna watz 70m
😃😃 mlale,mkiamka semeni mama mitano tena, oktoba tunatikina wazalendo wenzangu watanganyika
KachanganyikiwaPolepole matakko kweli,mama hatakiwi na nani kugombea?
Chawa kabla hujajibu tafiti kidogo, kama angetakiwa unadhani angegombea kupitia dirishani?Polepole matakko kweli,mama hatakiwi na nani kugombea?
Kapitia dirisha gani dada kunguni?Chawa kabla hujajibu tafiti kidogo, kama angetakiwa unadhani angegombea kupitia dirishani?
Ni wapi alichukua fomu ya ccm?Kapitia dirisha gani dada kunguni?
Katiba ya CCM Inasema lazima achukue form kugombea!?..kamati kuu ya halmashauri kuu ya ccm haina mamlaka yale?Ni wapi alichukua fomu ya ccm?
Sina majina matatu mimiNamjua kwa majina yote matatu
Hujalala unamjadiliPolepole ni jibwa koko linalobweka bila madhara. Apuuzwe
Kama mwanae, hana tofsuti na Dula.Wewe na nani?..kuna watz 70m
Acha kujibu comment yangu kama taahira.Hujalala unamjadili