ipo wazi sana hakika msagaji wa taifa hatoboi very soon parapanda inaliaMbele ya hii Nirvana ya haki, huyu mama anayedhulumu haki za vijana wetu kuishi, haki ya kuabudu, haki ya kufanya siasa, haki ya kuandamana na haki nyingine za msingi, hakika hatoboi, kamwe hawezi kufika mwezi Oktoba. Taarifa rasmi mtazipata katikati ya kampeni
Huyu bibi ingekuwa amri yake angeisha achia ngazi lakini kuna hilo kundi la Kikwete wanaofaidika na udhaifu wa uongozi wa huyu mama ndio wanamshikilia asiondoke na ndio hao Samia anawaita” Boss” wake..Ungekua wewe ungeachia?
Pole Pole ni Musiba wa awamu ya sita, uchaguzi ukimalizika atapotea mazima.Nijiendeleze kwa elimu ipi ambayo wewe unayo?
Sukuma gang ndio walimuua Mzee Kibao? Je ndio wamempoteza Mdude_Nyagali ? MamaSamia2025 hasafishiki hata kidogo. Ni muovu kama alivyokuwa mtangulizi wakePole Pole ni Musiba wa awamu ya sita, uchaguzi ukimalizika atapotea mazima.
Sukuma Gang hawaamini kwamba JPM hayupo tena wanaishia kumchafua Samia na serikali yake.
Kwani huyo polepole hajui kuwa Mungu anaweza kumkarikis yeye?Polepole: Mama pumzika hautakiwi kugombe, lakini naona umeshupaza shingo, nasema kama kijana wako sina tofauti na Dula usitake mama Mungu akasirika juu yako kwa sababu watu wengi wanalia, wape CCM haki yao.
Mimi kila mtanganyika ninaye muuliza anasema hamtaki na wanao sema wanamtaka wananiambia wanajibu hivyo kwa kuwa wanaogopa wasije uawa uawa.Wewe na nani?..kuna watz 70m
Uchaguzi wa Tanzania ambao polisi wanakimbia na masanduku ya kura. Mbona outcome inajulikana.....Naongelea uchaguzi wa haki....yaani kura moja mtu moja, siyo kura za maruhani.Nani alifanya utafiti akapata hizo data?. Usisikilize maneno ya vijiweni na watu muflis, kila kona ya nchi ni Mama Mama mitano tena!
Tusiandikie mate na wino upo, subiria 29 October, utaniambia.
P
Unao ushahidi wenye kujitosheleza kwamba Samia ameuwauwa hao wahusika?Sukuma gang ndio walimuua Mzee Kibao? Je ndio wamempoteza Mdude_Nyagali ? MamaSamia2025 hasafishiki hata kidogo. Ni muovu kama alivyokuwa mtangulizi wake
Liwalo na Liwe mama dula kanogewa na urais wa nchi - hauachii ng'o afe kipa afe beki.Huyo mama mwenyewe anasikia sasa?