GE2025 Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Povu hili linaweza kuosha nguo chafu nchi nzima na bado likabaki kuwasugua vichaa wote
 
Mwanangu pole sana nakuona jinsi gani unavyolia kwa uchungu baada ya kuambiwa ukweli kwamba kilichofanyika kinyume na utaratibu kilikua sio sahihi
 
Mkuu kikwete ndiyo kaamua na siyo wana ccm
 
Kwani Mzee Malisa yule aliyefukuzwa SISIEMU si alisema hayo tangia mwanzoni? Mchakato wa Kumpitisha MBICHI na Watch_Hundred haukuwa sahihi....#KATAA_WAHUNI
 
Mwanangu pole sana nakuona jinsi gani unavyolia kwa uchungu baada ya kuambiwa ukweli kwamba kilichofanyika kinyume na utaratibu kilikua sio sahihi
Mkutano mkuu ndio mamlaka ya mwisho sio lazima hawahitaji chochote kuletewa na vikao vya chini hata yeye ajiandae akisikia tu mkutano mkuu umeitishwa aweza timuliwa CCM bila mkutano mkuu kuletewa mapendekezo toka chini kuwa afukuzwe uanachama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…