Good job slowslow..Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Kusema ni mgombea mmoja ni makosa
Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!
“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”
Mstaafu huyu...Kwa ufupi Kikwete ndio mvurugaji wa mambo
Angalia kazi ya mkutano mkuuHujajibu swali wewe mpumbavu katiba ya Chama ina kazi gani?
Chadema wameambiwa wazi na msajili waitishe mkutano mkuu wao huita baraza kuu wachague upya wajumbe wa kamati kuu yaoYaan kakikundi fulani kanaamua ndio mnasema mkutano mkuu are you stupid?
Naona sasa hivi hamna tenaWakati Lowassa anatoka kina Polepole ndiyo walikuwa viongozi wenu.
IyoNaona sasa hivi hamna tena
no reform no election wote mmekuwa mateka wa Polepole😀
kwamba eti mvurugaji ndio huyu astala victoria siempre, right?🐒Mimi mkivurugana na nenepa😅
Hujajibu swaliAngalia kazi ya mkutano mkuu
Mkutano mkuu ³Waweza batilisha kila cha vikao vya chini
Unaelewa maana ya mkutano.wa chama wewe?
Hujajibu swali jibu swaliChadema wameambiwa wazi na msajili waitishe mkutano mkuu wao huita baraza kuu wachague upya wajumbe wa kamati kuu yao
Mkutano mkuu wa kila chama au kampuni au Saccos au kanisa nk ndio wenye mamlaka ya juu kuamua chochote.kwa kuletewa au wenye kuamua kivyao bila kuletewa hoja
Naunga mkono hoja Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwaMchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Kusema ni mgombea mmoja ni makosa
Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!
“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”
Polepole kazunguka sana ila shida yake ni mama kuwa mgombea urais. Kaonyesha chuki yake waziwazi. Hakuna namna inabidi afutwe uanachama akajiunge na kina Heche.
Kikwete anaongoza nchi kwa remote kutoka MsogaKwa ufupi Kikwete ndio mvurugaji wa mambo
Good job slowslow..
Mama Yako Nchi imemshinda.Polepole kazunguka sana ila shida yake ni mama kuwa mgombea urais. Kaonyesha chuki yake waziwazi. Hakuna namna inabidi afutwe uanachama akajiunge na kina Heche.