Kwenye siasa hakuna hicho kitu sijui kwa kiswahili ndo mnasema mavi ya kale..Mavi ya kale hayanuki. Tunashughulika na wale wanaokunya leo na kesho!
Em tusubiri...Hivi polepole wakati Lisu kamiminiwa raisasi alizungumziaje sula Lile? Kwa wenye kujua tunaomba watujuze
Samia kaleta utekaji, ubakaji, ulawiti, na mauaji kama yalivyokuwa yakifanya Zanzibar enzi hizo, Hatumtaki huyo Samia, kama ZNZ hawana mtu mwingine wa badala yake basi wakae nae huko huko......Hatumtaki kwa tabia zake za ki-imla na za kibabe. Aondoke, HAFAI. Nchi yetu imekuwa ya ovyo, laughing stock of the whole world. Hafai kuongoza, hata kuongoza bongoflava hafai. Arudishe Mabilioni ya dollar aliyopeleka ZNZ.wewe idd amin mama nenda kapumzike before too late, huna uwezo wq kuongoza.
HApama kwamza fomu ni moja.Samia kaleta utekaji, ubakaji, ulawiti, na mauaji kama yalivyokuwa yakifanya Zanzibar enzi hizo, Hatumtaki huyo Samia, kama ZNZ hawana mtu mwingine wa badala yake basi wakae nae huko huko......Hatumtaki kwa tabia zake za ki-imla na za kibabe. Aondoke, HAFAI. Nchi yetu imekuwa ya ovyo, laughing stock of the whole world. Hafai kuongoza, hata kuongoza bongoflava hafai. Arudishe Mabilioni ya dollar aliyopeleka ZNZ.
ACHA uongo kwahiyo Huo mkutano mkuu ukiamua kuchagua Gigy money kuwa Raisi ni SAWA? Polepole kaeleza vyema usitufanye Kama hatukuelewaMgombea
Tusingekuwa na shida naye, lakini Rais ana tabia za ovyo za kubaka na kulawiti. Hatumtakisio polepole tu, wengi hatukutaki wewe raia wa zenjibar unae ng'ang'ania urais wakati uwezo huna, tumeapa lazima tukufurushe.
Hakika hakikaAtatoka kama shujaa
Fomu atakwenda kuchukua tarehe 27 August, atazunguka nchi nzima.Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Kusema ni mgombea mmoja ni makosa
Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!
“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”
Soma zaidi
- Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?
- Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama
- Aliyefukuzwa CCM baada ya kupinga Rais Samia kupitishwa mgombea pekee urais agoma kuondoka CCM
- Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Samia hakuhitaji kuchukua fomu muda huu, anakwenda kumalizia miaka mitano ya pili ya awamu yake. Aliingia ikulu mwaka 2021 ni miaka minne aliyokaa ikulu, hivyo inahesabika kuwa amehudumu kwa awamu nzima akiwa kiongozi kwa zaidi ya nusu ya muda wa miaka mitano.Mtu mmoja kuchukua fomu ina tofauti gani na kumpitisha bila kupingwa?maana hata angechukua fomu angechukua peke yake