Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

Polepole amekuwa kama mbwa anayebweka bweka tu. APUUZWE


Nadhani wewe uliye mbwa halisi ndiye wastahili kupuuzwa, maana wewe ni uzao wa shetani, ndiyo maana nyakati zote umekuwa ukishabikia wauaji.
 
Kwa hiyo aliyoongea ndo walipendankuyasikia?
Yeye kama amedhamiria kuweka mambo hadharani,awake Tu,hii style yake ya vipande vipande anazidi kuchuja Tu!
 
Mzee wa Kino kama CCM ilinusurika 2015 ni ngumu sana kwa sasa hivi kuyumbishwa na Polepole. Laingwanan peke yake ndo alituvuruga. Pia hakuna mwanaCCM mjinga anayeweza kukubali CCM ianguke kwa sababu ikitokea itakuwa hatari mno.
wewe samia ni kama umejizima data, anachoongea polepole ni kitu kikubwa sana, ccm ya leo haiwezi hata kushinda kitongoji bila kukimbia na sanduku la kura bado unaamini hapo kuna chama?? someni alama za nyakati nyie wapuuzi. polepole anasema huu mwaka ndio wa kufanya rejuvinate ndani ya chama kama ilivyokuwa 2015, mkishupaza shingo ccm inaenda ku_collapse anytime
 
Ni kauli za kawaida nyakati za uchaguzi watu kutamka. CCM bado ipo sana kuongoza hii nchi.
 
Namuona mwenyewe mkuu, kama anafanya masikhara hivi, kejeli Kwa wazalendo wa kweli ndani ya taifa.
 
Polepole na wewe unazingua sana ujue , wewe maliza yote mwishowe watakuteka na kukuua kabla hujawapiga za chembe.
 
Nipi siti ya mbele
 
kwa vyovyote vile mambo yoyote atakayoongea ambayo ni mabaya au mazuri ni kwamba YEYE MWENYEWE AMESHIRIKI KUYAFANYA kwahiyo asitutishe kabisa kam ni hukumu nayeye yumo
 
Polepole mpaka sasa hakuna cha maana alichoongea --- anasema ataongea alagu ikishafika siku anaanza viapo vinanibana anakwepa kwepa anazunguka zunguka --- amwage mchele kuku tuuangalie kwanza
 
Polepole mpaka sasa hakuna cha maana alichoongea --- anasema ataongea alagu ikishafika siku anaanza viapo vinanibana anakwepa kwepa anazunguka zunguka --- amwage mchele kuku tuuangalie kwanza
Na baadae muone kama mtaudonoa au sio πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: Lax
Polepole ni mpuuzi tu, anakua kama mwanamke. Anasubiri mambo yake yaende anavyotaka ili asibwabwaje, kama ni kwa maslahi ya taifa aongee bila kutishia tishia na kuongea kama konokono
Ni mwanamke kweli si unaona hana mke wala mtoto,
 
Chalamila kasema tutamuita msaidizi wake Tito Magoti atupe siri zake hapo ndio tutajua upande wa pili
 
Mzee wa Kino kama CCM ilinusurika 2015 ni ngumu sana kwa sasa hivi kuyumbishwa na Polepole. Laingwanan peke yake ndo alituvuruga. Pia hakuna mwanaCCM mjinga anayeweza kukubali CCM ianguke kwa sababu ikitokea itakuwa hatari mno.
Unajua sana
 
Polepole ni mpuuzi tu, anakua kama mwanamke. Anasubiri mambo yake yaende anavyotaka ili asibwabwaje, kama ni kwa maslahi ya taifa aongee bila kutishia tishia na kuongea kama konokono
Angekuwa mpuuzi wasingezima mitandao.

Taja wapuuzi hata watatu ambao wakiongea mitandao huwa inazimwa?
 
Kuanguka kwa CCM lazima wanyukane wenyewe. Wakiwa wamoja nchi itaendelea kuumizwa. Acha yabamizane tu nchi ipone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…