Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

Kifo cha katto Mkwere aliplay role kubwa sana yeye na mshauri ma chakula msile nyama wala msile nini! Walimuua KATTO ndo maana Polepole anaujua mkanda Mzima
 
Hayupo bongo huyo msidanganyike
Ndio maana nikamwambia kumbe na wewe Comredi Polepole U - muoga kama walivyo wabongo wengi 😳 !

🤣🤣🤣🤣 !

Hii ni sawa na ule usemi usemao mtu anaogopa Kinyago alicho kichonga mwenyewe 😀😀😄😅😂 !

Katiba mpya bora ni muhimu komredi Polepole 😳 !
Au nasema uongo ndugu yangu komredi #Polepole 🤣🤷🏿‍♂️🙏 !
 
Swali ni je, Kwa anayofanya sasa ana mpango wa kurudi TZ tena? Akirudi nini kitatokea? Ni bora apate asylum ahamishie familia huko aishi kwa uhuru na amani.
Kwahiyo na wana Ccm nao waanze kuomba Asylum huko Ughaibuni. ??
😅😅😄 !
Itaonekana ni maajabu !
 
kwa vyovyote vile mambo yoyote atakayoongea ambayo ni mabaya au mazuri ni kwamba YEYE MWENYEWE AMESHIRIKI KUYAFANYA kwahiyo asitutishe kabisa kam ni hukumu nayeye yumo
Anamwaga mboga...
 
 
Bado mnamwona Slowslow ni Mkombozi wenu!
Poleni sana
 
Anaongelea mambo ya kawaida ambayo mimi na wewe tunaweza kuongelea, ila kwa kufanya analysis, Polepole hakuwa katika level ya Salmin, Jumbe et al. Hayo unayoyasema ume-base katika perception yako. But alishasema Polepole kuwa kuna mambo ambayo hawezi sema ikiwa ni siri yake na mwajiri wake. Anajua anachofanya na anajua mipaka yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…