GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
- Thread starter
- #21
Sinza kwa naibu waziri!
Inasemekana hapo kuna ' Vimelea ' kadhaa vya upande wa pili ambao huwa wanaandika ' Kiitikadi ' zaidi Mkuu. Hata Naibu Waziri analijua hilo.
Sinza kwa naibu waziri!
Mnyarwandwa
Wengi wao ni makini ila wanaharibiwa na Viongozi Wakuu wachache wanaopatikana huko.
Mbona sijaona "my take" yako mkuu?
Tabata relini kuna gazeti gani vile
Akizungumza mubashara kabisa leo asubuhi ndani ya kituo cha redio cha Magic FM ambacho pia kinamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole amesema kwamba kuanzia sasa muda wowote ataenda kuyataja magazeti mawili makubwa aliyoyaita mwenyewe kuwa ni ya ‘hovyo hovyo‘ nchini Tanzania.
Sababu kuu ya yeye kuja na hili ‘tamko‘ ni kitendo cha magazeti hayo mawili makubwa nchini Tanzania kuacha ‘kuripoti‘ vizuri na kwa haki juu ya kuhama kwa aliyekuwa Meya wa CCM Arusha Lazaro kuja CCM.
“ Labda niwaambieni tu kama kuna mtu ambaye ndani ya CHADEMA alikuwa na umuhimu mkubwa, amekisaidia hicho Chama, amefanya makubwa na hata Uwezo wake wa Kiutendaji hadi Kiupeo ni mkubwa kuliko wengi walioko huko ni huyu Lazaro. Binafsi nilishtushwa sana kumuona amehamia kwetu na baadae nilianza kufurahi kwani nilijua kuwa kumpata Mtu kama Lazaro basi CCM tumepiga bao la kisigino. Lakini angalia namna haya magazeti mawili ambavyo yaliripoti juu ya ujio wake huyu aliyekuwa Meya wa Arusha akiwa CHADEMA. Hawajamtendea haki na wamemripoti kama tu ni mtu mwepesi mwepesi wakati anaweza akawa ana uwezo kuliko huyo anayewadanganya au hao wachache wanaowadanganya ndani ya hicho Chama “
Je, wewe unayahisi haya magazeti ni gani?
Namalizia kwa kutuma salamu zangu nyingi na za dhati kabisa kwa wakazi wapendwa wa Tabata Relini na Sinza Kijiweni.
Sasa mkuu mbona umeshaiamsha mizimu kabla hata jamaa hajatengua hoja? Hiyo mizimu yako haina uvumilivu kabisa.Tengua Kauli yako haraka sana Mkuu kabla hujaiamsha ' Mizimu ' yangu na ukajuta Kunifahamu. Nimelileta hili hapa ili kuliletea Mjadala wake hasa ule wa Kifikra kwani huenda Polepole akawa ana Hoja au akawa hana vile vile juu ya hili Tamko lake. Huo ubaya wa huu Uzi uliouona Wewe hapa umetoka wapi? Je, una uhakika kwamba katika Mada za ' hovyo hovyo ' na hii yangu utaiweka? Unadhani Mimi ni Mpumbavu / Popoma kama Wewe hadi nikaiweka hapa? Kuna Vitu Moderators wanaweza wakavielewa na kuvifanyia Kazi ila kamwe siyo huu ' Upuuzi ' wako.
Halafu katika Lugha adhimu ya Kiswahili huwa hatuna neno la ' kujadiri ' kama uliloliandika hapo juu bali tuna neno sahihi la ' Kujadili ' sawa? Sasa kama Kuandika tu Kiswahili Fasaha hujui na kinakupa Shida utaweza kweli Kupambana Kihoja na Kimantiki na Mimi GENTAMYCINE? Nilikuwa sitaki Kukudharau ila kwa huu ' Ujuha ' wako uliouleta hapa sasa natangaza rasmi Kukudharau.
Tanzanite ni la kufungia mandazi tu!Aanze kwanza kulitaja gazeti la "swahiba" wao Musiba la Tanzanite
Kwa kuwa hilo gazeti ndilo linaloongoza hapa nchini kwa kuandika habari za "mipasho"
Huwa sibishani na vichaa,yaani wewe unaona ni hoja kila member kuja hapa na kutaja gazeti?Tangia lini ' Popoma ' kama Wewe ukaelewa Jambo na pia ukawa na uwezo wa Kulijadili kama Werevu wengi wanaopatikana hapa?
Hapo bila shaka linatafutwa gazeti la Mwananchi na Nipashe....
Isitoshe gazeti la Mwananchi limechambua kwa kina sana hili wiki lote Kitabu cha Mstaafu Mkapa
Ambapo hoja zake nyingi zinegusa kwenye utawala huu.
Polepole inabidi atabue hii biashara ya hama hama haiuzi gazeti kwa sasa.
Sasa mkuu mbona umeshaiamsha mizimu kabla hata jamaa hajatengua hoja? Hiyo mizimu yako haina uvumilivu kabisa.
Ngoja nimsaidie....TanzaniaDaima na MWANANCHI......In Magufulis voice anasema yanaripoti negative ila HabariLeo linaripoti very positive!Akizungumza mubashara kabisa leo asubuhi ndani ya kituo cha redio cha Magic FM ambacho pia kinamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole amesema kwamba kuanzia sasa muda wowote ataenda kuyataja magazeti mawili makubwa aliyoyaita mwenyewe kuwa ni ya ‘hovyo hovyo‘ nchini Tanzania.
Sababu kuu ya yeye kuja na hili ‘tamko‘ ni kitendo cha magazeti hayo mawili makubwa nchini Tanzania kuacha ‘kuripoti‘ vizuri na kwa haki juu ya kuhama kwa aliyekuwa Meya wa CCM Arusha Lazaro kuja CCM.
“ Labda niwaambieni tu kama kuna mtu ambaye ndani ya CHADEMA alikuwa na umuhimu mkubwa, amekisaidia hicho Chama, amefanya makubwa na hata Uwezo wake wa Kiutendaji hadi Kiupeo ni mkubwa kuliko wengi walioko huko ni huyu Lazaro. Binafsi nilishtushwa sana kumuona amehamia kwetu na baadae nilianza kufurahi kwani nilijua kuwa kumpata Mtu kama Lazaro basi CCM tumepiga bao la kisigino. Lakini angalia namna haya magazeti mawili ambavyo yaliripoti juu ya ujio wake huyu aliyekuwa Meya wa Arusha akiwa CHADEMA. Hawajamtendea haki na wamemripoti kama tu ni mtu mwepesi mwepesi wakati anaweza akawa ana uwezo kuliko huyo anayewadanganya au hao wachache wanaowadanganya ndani ya hicho Chama “
Je, wewe unayahisi haya magazeti ni gani?
Namalizia kwa kutuma salamu zangu nyingi na za dhati kabisa kwa wakazi wapendwa wa Tabata Relini na Sinza Kijiweni.
Huwa sibishani na vichaa,yaani wewe unaona ni hoja kila member kuja hapa na kutaja gazeti?
mkuu hilo sio gazeti kubwa hapa nchiniAanze kwanza kulitaja gazeti la "swahiba" wao Musiba la Tanzanite
Kwa kuwa hilo gazeti ndilo linaloongoza hapa nchini kwa kuandika habari za "mipasho"