Polepole: Muda wowote kuanzia sasa naenda kuyataja magazeti makubwa Mawili ya ‘hovyo hovyo‘ nchini Tanzania

Akizungumza mubashara kabisa leo asubuhi ndani ya kituo cha redio cha Magic FM ambacho pia kinamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole amesema kwamba kuanzia sasa muda wowote ataenda kuyataja magazeti mawili makubwa aliyoyaita mwenyewe kuwa ni ya ‘hovyo hovyo‘ nchini Tanzania.

Sababu kuu ya yeye kuja na hili ‘tamko‘ ni kitendo cha magazeti hayo mawili makubwa nchini Tanzania kuacha ‘kuripoti‘ vizuri na kwa haki juu ya kuhama kwa aliyekuwa Meya wa CCM Arusha Lazaro kuja CCM.

“ Labda niwaambieni tu kama kuna mtu ambaye ndani ya CHADEMA alikuwa na umuhimu mkubwa, amekisaidia hicho Chama, amefanya makubwa na hata Uwezo wake wa Kiutendaji hadi Kiupeo ni mkubwa kuliko wengi walioko huko ni huyu Lazaro. Binafsi nilishtushwa sana kumuona amehamia kwetu na baadae nilianza kufurahi kwani nilijua kuwa kumpata Mtu kama Lazaro basi CCM tumepiga bao la kisigino. Lakini angalia namna haya magazeti mawili ambavyo yaliripoti juu ya ujio wake huyu aliyekuwa Meya wa Arusha akiwa CHADEMA. Hawajamtendea haki na wamemripoti kama tu ni mtu mwepesi mwepesi wakati anaweza akawa ana uwezo kuliko huyo anayewadanganya au hao wachache wanaowadanganya ndani ya hicho Chama “

Je, wewe unayahisi haya magazeti ni gani?

Namalizia kwa kutuma salamu zangu nyingi na za dhati kabisa kwa wakazi wapendwa wa Tabata Relini na Sinza Kijiweni.
Chadema ni chuo kikuu cha wanasiasa, lakini mbona nawe ni wahovyohovyo sana na hili lilianza kukutokea baada ya kujiunga na CCM ili ugange njaa na hivyo tutarajie naye Lazaro atakuwa hivyohivyo wa hovyohovyo.
 
Rekodi ya GENTAMYCINE hapa Jamvini inaonyesha kuwa hajawahi hata Siku moja Kueleweka na ' Wapumbavu ' wa mfano wako, ila huwa anaelewa kwa haraka sana na Werevu kama ambao unawaona wamechangia huu Uzi wangu vyema tu.
Huwa sibishani na wenye degree 4
 
Mh.Nape,pse come back tusaidiane,ulikuwa ukiongea wapinzani wanatetemeka,
You had the commanding voice
You had the moral authority
Tusingojee mpaka dakika za mwisho
 
Kuna Polepole wawili. Kuna yule wa Katiba mpya, Huyo ana akili na weledi mkubwa.
Kuna huyu wa CCM ambaye ni Chizi. Sasa unamsema yupi? Kama huyu chizi sichangii
Dah! Hivi yule Humphrey Polepole wa Katiba Mpya aliendaga wapi?
 
Akizungumza mubashara kabisa leo asubuhi ndani ya kituo cha redio cha Magic FM ambacho pia kinamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole amesema kwamba kuanzia sasa muda wowote ataenda kuyataja magazeti mawili makubwa aliyoyaita mwenyewe kuwa ni ya ‘hovyo hovyo‘ nchini Tanzania.

Sababu kuu ya yeye kuja na hili ‘tamko‘ ni kitendo cha magazeti hayo mawili makubwa nchini Tanzania kuacha ‘kuripoti‘ vizuri na kwa haki juu ya kuhama kwa aliyekuwa Meya wa CCM Arusha Lazaro kuja CCM.

“ Labda niwaambieni tu kama kuna mtu ambaye ndani ya CHADEMA alikuwa na umuhimu mkubwa, amekisaidia hicho Chama, amefanya makubwa na hata Uwezo wake wa Kiutendaji hadi Kiupeo ni mkubwa kuliko wengi walioko huko ni huyu Lazaro. Binafsi nilishtushwa sana kumuona amehamia kwetu na baadae nilianza kufurahi kwani nilijua kuwa kumpata Mtu kama Lazaro basi CCM tumepiga bao la kisigino. Lakini angalia namna haya magazeti mawili ambavyo yaliripoti juu ya ujio wake huyu aliyekuwa Meya wa Arusha akiwa CHADEMA. Hawajamtendea haki na wamemripoti kama tu ni mtu mwepesi mwepesi wakati anaweza akawa ana uwezo kuliko huyo anayewadanganya au hao wachache wanaowadanganya ndani ya hicho Chama “

Je, wewe unayahisi haya magazeti ni gani?

Namalizia kwa kutuma salamu zangu nyingi na za dhati kabisa kwa wakazi wapendwa wa Tabata Relini na Sinza Kijiweni.
huyu bwana hajui JD Yake anapuyanga tu. kazi ya katibu wa itikadi sio kununua wapinzani
 
Wengi wao ni makini ila wanaharibiwa na Viongozi Wakuu wachache wanaopatikana huko.

Sio kweli. Leo Mbowe, aliye na ushawishi mkubwa kwa viongozi wenzake, ndiye anatambuliwa kama “adui mkuu anayeiharibu CHADEMA na upinzani nchini”!

LAKINI BASI, mara akitangaza kuhamia CCM na kumtambua Magufuli kama “nabii yule tuliyemsubiri”, pati litakaloangushwa Lumumba na Magogoni halitakuwa na mfano. Siku hiyo ukithubutu kumnasibisha na Nkurunzinza au ulaji wa ruzuku basi kaa chonjo kupata ziara ya wasiojulikana. Manake mapokezi ya Slaa yatakuwa/yalikuwa ya kitoto.

BAHATI NZURI SANA, hilo halitatokea. Bali wahuni wataendelea kupata ulaji CCM kwa kumshambulia Mbowe hadharani. Mpaka sasa career za wengi huko CCM zimepatikana na kuimarika kwa kumsema ovyo Mbowe bila soni. Waliobakiza haiba kiasi kama Dr. Slaa na Kafulila wamejiwekea tahadhari kuhusu kumponda Mbowe “wholesale”. Wanaijua thamani yake na, bila shaka kwamba kuna maisha baada ya siasa. Hivyo, wanatoa dozi kwa kipimo makini kinachowaweka Sawa na jiwe.
 
Ang
Akizungumza mubashara kabisa leo asubuhi ndani ya kituo cha redio cha Magic FM ambacho pia kinamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole amesema kwamba kuanzia sasa muda wowote ataenda kuyataja magazeti mawili makubwa aliyoyaita mwenyewe kuwa ni ya ‘hovyo hovyo‘ nchini Tanzania.

Sababu kuu ya yeye kuja na hili ‘tamko‘ ni kitendo cha magazeti hayo mawili makubwa nchini Tanzania kuacha ‘kuripoti‘ vizuri na kwa haki juu ya kuhama kwa aliyekuwa Meya wa CCM Arusha Lazaro kuja CCM.

“ Labda niwaambieni tu kama kuna mtu ambaye ndani ya CHADEMA alikuwa na umuhimu mkubwa, amekisaidia hicho Chama, amefanya makubwa na hata Uwezo wake wa Kiutendaji hadi Kiupeo ni mkubwa kuliko wengi walioko huko ni huyu Lazaro. Binafsi nilishtushwa sana kumuona amehamia kwetu na baadae nilianza kufurahi kwani nilijua kuwa kumpata Mtu kama Lazaro basi CCM tumepiga bao la kisigino. Lakini angalia namna haya magazeti mawili ambavyo yaliripoti juu ya ujio wake huyu aliyekuwa Meya wa Arusha akiwa CHADEMA. Hawajamtendea haki na wamemripoti kama tu ni mtu mwepesi mwepesi wakati anaweza akawa ana uwezo kuliko huyo anayewadanganya au hao wachache wanaowadanganya ndani ya hicho Chama “

Je, wewe unayahisi haya magazeti ni gani?

Namalizia kwa kutuma salamu zangu nyingi na za dhati kabisa kwa wakazi wapendwa wa Tabata Relini na Sinza Kijiweni.
Atleast leo umeandika mwandiko mzuri. Sio kama ule uliokuwa unaandika kwenye threads zako za nyuma. Nilikuwa nashanga kuona mnyarwanda halisi unaandika kama Ngumbaru.
Hongera kwa mabadiliko hayo mzee.
 
Aanze kwanza kulitaja gazeti la "swahiba" wao Musiba la Tanzanite

Kwa kuwa hilo gazeti ndilo linaloongoza hapa nchini kwa kuandika habari za "mipasho"
Sio hilo tu bali kuna lingine la Jamvi la habari la kibaraka Habibu Mchange.
 
Mkuu ndo nimeona asee duh, kumbe hawa jamaa wako vizuri eeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

CCM bana...... Sasa alitaka waseme Trump ahamia CCM.....???????????

Huyo kwanza si alitoka TLP akaja CDM...... Hana uspesho wowote hata umeya Ni Lema alipiga cross Hadi akaupata.

Sisi watu weusi bado Sana.. BTW Sudan pamoja na kwamba Bashir katoka juzi wamerusha Sattelaite kwenda anga za mbali......... Nyie endeleeni kununua akina Kalist...
 
Back
Top Bottom