Polepole: Muda wowote kuanzia sasa naenda kuyataja magazeti makubwa Mawili ya ‘hovyo hovyo‘ nchini Tanzania

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] chakubanga amepanic.

Muambieni huyo chakubanga watu wanaipotezea hiyo habari kwasababu watz wameshajua hizo hamahama ni manunuzi yasiyo na kichwa wala mguu
 
Ngoja nimsaidie....TanzaniaDaima na MWANANCHI......In Magufulis voice anasema yanaripoti negative ila HabariLeo linaripoti very positive!

Nilijua wengi wenu mtasema kuwa linalowindwa hapo mojawapo ni Gazeti la Tanzania Daima ambalo linajulikana kuwa linamilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe ila nakuambia katika Magazeti yaliyolengwa hapo hilo wala halipo ila ' Rada ' yangu inasoma eneo la Tabata na Sinza au Tabata na Mwenge. Tabata hakuanza Kutafutwa leo Mkuu.
 
Akizungumza mubashara kabisa leo asubuhi ndani ya kituo cha redio cha Magic FM ambacho pia kinamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole amesema kwamba kuanzia sasa muda wowote ataenda kuyataja magazeti mawili makubwa aliyoyaita mwenyewe kuwa ni ya ‘hovyo hovyo‘ nchini Tanzania.

Sababu kuu ya yeye kuja na hili ‘tamko‘ ni kitendo cha magazeti hayo mawili makubwa nchini Tanzania kuacha ‘kuripoti‘ vizuri na kwa haki juu ya kuhama kwa aliyekuwa Meya wa CCM Arusha Lazaro kuja CCM.

“ Labda niwaambieni tu kama kuna mtu ambaye ndani ya CHADEMA alikuwa na umuhimu mkubwa, amekisaidia hicho Chama, amefanya makubwa na hata Uwezo wake wa Kiutendaji hadi Kiupeo ni mkubwa kuliko wengi walioko huko ni huyu Lazaro. Binafsi nilishtushwa sana kumuona amehamia kwetu na baadae nilianza kufurahi kwani nilijua kuwa kumpata Mtu kama Lazaro basi CCM tumepiga bao la kisigino. Lakini angalia namna haya magazeti mawili ambavyo yaliripoti juu ya ujio wake huyu aliyekuwa Meya wa Arusha akiwa CHADEMA. Hawajamtendea haki na wamemripoti kama tu ni mtu mwepesi mwepesi wakati anaweza akawa ana uwezo kuliko huyo anayewadanganya au hao wachache wanaowadanganya ndani ya hicho Chama “

Je, wewe unayahisi haya magazeti ni gani?

Namalizia kwa kutuma salamu zangu nyingi na za dhati kabisa kwa wakazi wapendwa wa Tabata Relini na Sinza Kijiweni.
Na sisi tunamtajia mwenyekiti wa hovyo wa chama chenye mahusiano na yeye
 
Akumbuke pia kutaja gazeti la Tanzanite na Uhuru
 
Magazeti ya hovyo huwa ni yale yanayomilikiwa na msiba hakuna magazeti ya hovyo zaidi ya hayo Nchini, polepole akiyataja magazeti mengine kwa ujinga wake mwenye atazidi kujidhalilisha zaidi.
 
Naona na Wewe ulikubaliana na ' Upuuzi ' wake hadi ukampa na ' Like ' kabisa. Kwahiyo nawe ni Pacha wake wa ' Upuuzi ' au?
Upuuzi kwako siyo lazima uwe upuuzi kwangu. Tunatofautiana sana ktk kuelewa. Siyo dhambi mimi kukuelewa tofauti na ulivyotaka nikuelewe.
Hata darasani kuna vilaza na vipanga. Unaweza kuniita unavyotaka, siwi mpuuzi kwa vile wewe umeniita mpuuzi.
 
Asipoyataja yale ya udaku 2 sitomuelewa kamwe, tanzanite na jamhuri
Hayo ndiyo magazeti ya hovyo kwa takwimu za Nchi nzima siyo polepole atumie cheo chake kuyatukana magazeti mazuri kisa hayajamsifia kutoa hongo kumnunua meya wa Arusha, polepole atambue kuwa watanzania siyo wajinga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] chakubanga amepanic.

Muambieni huyo chakubanga watu wanaipotezea hiyo habari kwasababu watz wameshajua hizo hamahama ni manunuzi yasiyo na kichwa wala mguu
Wachukua pesa Hazina kwenda kununua wapinzani matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 
Hiyo sattelaite inawapa ahuweni gani wananchi wa huko, na kma ni diri mbona wanakimbia kila siku kwenda south africa na kungineko, si wakae waiangalie kwenye maruniga na kutumia ma internet ya rahisi?

😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

CCM bana...... Sasa alitaka waseme Trump ahamia CCM.....???????????

Huyo kwanza si alitoka TLP akaja CDM...... Hana uspesho wowote hata umeya Ni Lema alipiga cross Hadi akaupata.

Sisi watu weusi bado Sana.. BTW Sudan pamoja na kwamba Bashir katoka juzi wamerusha Sattelaite kwenda anga za mbali......... Nyie endeleeni kununua akina Kalist...
 
Jamaa anaharibu biashara za watu hayo magazeti hayalipi kodi au? Ndiyo maana kila raia wa nje ukimpelekea business plan aje awekeze Tanzania anakuambia hana interest na Tanzania ni kutokana na upuuzi kama huu

Kabisa unaanza je kuwa na interest na Tanzania kwanza lazima ujitoe ufahamu kwanza ndio uje hapa
 
Akizungumza mubashara kabisa leo asubuhi ndani ya kituo cha redio cha Magic FM ambacho pia kinamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole amesema kwamba kuanzia sasa muda wowote ataenda kuyataja magazeti mawili makubwa aliyoyaita mwenyewe kuwa ni ya ‘hovyo hovyo‘ nchini Tanzania.

Sababu kuu ya yeye kuja na hili ‘tamko‘ ni kitendo cha magazeti hayo mawili makubwa nchini Tanzania kuacha ‘kuripoti‘ vizuri na kwa haki juu ya kuhama kwa aliyekuwa Meya wa CCM Arusha Lazaro kuja CCM.

“ Labda niwaambieni tu kama kuna mtu ambaye ndani ya CHADEMA alikuwa na umuhimu mkubwa, amekisaidia hicho Chama, amefanya makubwa na hata Uwezo wake wa Kiutendaji hadi Kiupeo ni mkubwa kuliko wengi walioko huko ni huyu Lazaro. Binafsi nilishtushwa sana kumuona amehamia kwetu na baadae nilianza kufurahi kwani nilijua kuwa kumpata Mtu kama Lazaro basi CCM tumepiga bao la kisigino. Lakini angalia namna haya magazeti mawili ambavyo yaliripoti juu ya ujio wake huyu aliyekuwa Meya wa Arusha akiwa CHADEMA. Hawajamtendea haki na wamemripoti kama tu ni mtu mwepesi mwepesi wakati anaweza akawa ana uwezo kuliko huyo anayewadanganya au hao wachache wanaowadanganya ndani ya hicho Chama “

Je, wewe unayahisi haya magazeti ni gani?

Namalizia kwa kutuma salamu zangu nyingi na za dhati kabisa kwa wakazi wapendwa wa Tabata Relini na Sinza Kijiweni.
yaani Mwananchi kupuuza huo ujinga ndio imuumiza huyu ! halafu polepole hivi nani atakuamini tena baada ya video hii ? watu wamekujua kama mchumia tumbo tu
 
Attachments

  • Apandacho mtu ndicho atakachovuna ( 268 X 480 ).mp4
    370.1 KB
Yaan niharibu biashara yangu kisa hii biashara haramu anayoifanya?n mjinga tu ataipa uzto habar yao
 
Back
Top Bottom