Tetesi: Polepole na Dkt. Hassan Abbas wanawatisha watu wa media

Hizo ni criminal case procedural. Lakini kama wazee wangekuwa na nia na huyo jamaa wanampata.Ndio maana hata hakimu alisema kosa ni kuchelewesha ushahidi sio kwamba polisi walishindwa kupata Ip adress.
 
Ahaaaa.Lazima kuna maadili alikiuka maana mbona wengine hawanyag'anywi?
Mimi hoja yangu hapa ni kuwa Tanzania sio nchi ya kiimla. Ndio maana platforms kama JF zipo huru. Huyo Paschally kuna sehemu alibugi.

Maadili gani, au unadhani hatuelewi kinachoendelea? Si walizifunga hapa tukahamia Kenya talk? Sio kwamba wanaitaka hii jf, ila technology sio rafiki wa tabia zao ovu maana tutahamia platform nyingine mamilioni kwa mamilioni hapa duniani.
 
Hizo ni criminal case procedural. Lakini kama wazee wangekuwa na nia na huyo jamaa wanampata.Ndio maana hata hakimu alisema kosa ni kuchelewesha ushahidi sio kwamba polisi walishindwa kupata Ip adress.
 
Ameen Ameen
 
tindo mimi ni mzee lakini unanishangaza sana. Mtu yupo Russia alafu anadukua server za bunge Usa. Ndio ije wewe na hiyo computer yako kisa server zipo Nbi?
 
Muombe sana huyo source yako akuruhusu utuwekee hiyo clip ili ifanyiwe kazi mara moja.

Hii itakuwa ndiyo dawa ya gonjwa sugu la hao watumwa wa fikra
 
Hizo ni criminal case procedural. Lakini kama wazee wangekuwa na nia na huyo jamaa wanampata.Ndio maana hata hakimu alisema kosa ni kuchelewesha ushahidi sio kwamba polisi walishindwa kupata Ip adress.

Wangeipata ip address wasingehangaika na Melo. Na baada ya Melo kulijua hilo, hata yeye kaondoa feature ya kuona details za user, ili hata staff wake wasio waaminifu wasitoe taarifa kinyume na haki ya faragha.
 
Ok hawawezi kupata ila Tanzania sio nchi ya kiimla.
 
Pamoja na yoteeeee tujiulize, kwani katibu mkuu wa wizara ya habari ni nani?

Ukijibu swali hili utajua nini maana ya uhuru wa habari kwa vyombo vya habari
 
binafsi nafikili kama ni kweli bado haisaidii hapa hoja ni ushauri madhubuti kwa mgombe wao kwamba anaenda vipi na kwa agenda zipi za kuwavuta wapiga kura basi, vinginevyo wajue kwa sasa clip ikitoka aijalishi vyombo vya habari ikisambazwa whatsapp ni dakika 10 tu imefikia watanzania m20 so washauliwe tu hakuna namna kama ni kweli
 
whatsapp ni dakika 10 tu imefikia watanzania m20 so washauliwe tu hakuna namna kama ni kweli
Yaah! Ni kweli mkuu kwa social media watu wengi watapata habari kwa haraka, lkn zaidi ni wa mijini. Tatizo litakuwa vijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…