Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hii shaghalabaghala niliwahi kuizungumza angalia tarehe...Kila jambo lisipokuwa na utaratibu linakuwa shaghalabaghala tu,
Machinga hawana utaratibu wa kufanya kazi zao currently, kila mahali wamezagaa tu, hamna utaratibu, siyo kwenye barabara, mirefereji, mbele ya biashara za wengine, hovyo hovyo tu,
Nchi iwe na utaratibu,, hawajanyimwa kufanya biashara, maana ni kama watu wanahisi kwamba wamenyimwa kufanya biashara, No,
Wawe kwenye utaratibu
Kwa muktadha wa mada uliyo mezani, naamini kabisa nimeeleweka naungana na nani.Unaungana na kina nani funguka...
P