Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kwenye hili la wamachinga, hakuna unafki wowote, ni JPM ndie aliwaruhusu, hivyo wamachinga hawana kosa lolote. Waondolewe kistaarabu kwa utaratibu na kupangiwa maeneo mbadala na sio kuwavunjia usiku kama ile ya vingunguti.Baadhi ya wanasiasa ni wanafiki wanaweza kuongea jambo ukadhani wana nia ya kujenga kumbe wana lao jingine kabisa, tujiulize walikuwa wapi wakati hao machinga wanavamia kila mahali na kujimilikisha maeneo bila mpangilio lakini leo wakitakiwa kuondoka wanajifanya kuleta habari ya kuwapanga
P