Polepole na Musukuma tuacheni na machinga wenu nasi tupumue

Hii shaghalabaghala niliwahi kuizungumza angalia tarehe...
Unaungana na kina nani funguka...
Kwa muktadha wa mada uliyo mezani, naamini kabisa nimeeleweka naungana na nani.
P
 
Hii shaghalabaghala niliwahi kuizungumza angalia tarehe...
P
 
Mimi naungana nao, they are very right.
P
Umebugi maan!
Biashara za Machinga ni kutetea anarchy and lawlessness.
Sikudhania Pascal Mayalla uwe mtu wa kutetea a political base called "wanyonge" ambao hawatafutiwi mbadala wa kuwaendeleza.
Bahati mbaya watu huwa hawafikirii zaidi kuwa this is a social issue ambayo ni migration ya vijana toka vijijini kuja mijini.
Vijana ni about 50% ya wananchi wte wa Tanzania, na walio wengi wakiamua kuwa machinga, unaweza kuona uzito wa tatizo.
Lakini Miji inaendeshwa na sheria.
Kuna sheria za biashara
Kuna sheria za makazi
una sheria za Traffic
Na kuna sheria za kuzuia uzururaji.
Mbya zaidi kna ukwepaji kodi uliokithiri katika biashara za umachinga.
Hivyo Pascal Mayalla, jaribu tena.
 
Mkuu Jidu La Mabambasi , sitetei kabisa the anarchy and lawlessness, wala Polepole na Musukuma, nao pia hawatetei, tunachosema ni, maadam waliruhusiwa kufanya biashara holela na popote, sasa mambo yamebadilika, wawe treated fairly . Msivanjie vibanda vyao, msiwapore mali zao, na muwatafitie mahali karibu na masoko kufanya biashara, muwapange vizuri, wajengewe vibanda vizuri standard na uniform wafanye biashara zao rasmi na sio holela.
P
 
Unaungana nao kwahiyo mnataka hao machinga wawe na sheria zao tofauti na watu wengine kwamba wao wavunje sheria za nchi kadri watakavyo? Kumbuka hawajakatazwa kufanya biashara bali wasivunje sheria zilizopo kwa watu wote.
Kiukweli sijui ni wangapi humu wamemsikia Polepole na Musukuma, wamesema nini kuhusu Wamachinga.
P
 
Badala ya kuwajengea vibanda wasioingiza pesa serikalini hizo pesa zitumike kuwalipia umeme wafanyabiashara wenye maduka.
 
Mkuu bado nakushangaa!
Lazima pawepo na change katika mindset.
Ati watafutiwe sehemu ya biashara
Ati wapangwe vizuri ili biashara zao ziende.
You are talking of impossibles here!
Kama biashara zingekuwa hivyo nani asingetaka kuwa machinga.
What does it take to be a machinga.
Hao wenye maduka wao kwa nini wasiende kufanya umachinga wakati huku wakiandamwa na kodi ya pango, TRA,Kodi ya Ardhi, jengo, kodi za wafanyakazi, umeme, maji na kuondoa uchafu n.k.
JK aliwajengea jengo pale Ilala, mpaka leo liko wazi-hakuna anayetaka gharama za biashara.

Tuwe realistic , hatuwezi ku rationalise machingaism, its lawlessness.
 
Kiukweli sijui ni wangapi humu wamemsikia Polepole na Musukuma, wamesema nini kuhusu Wamachinga.
P
Baadhi ya wanasiasa ni wanafiki wanaweza kuongea jambo ukadhani wana nia ya kujenga kumbe wana lao jingine kabisa, tujiulize walikuwa wapi wakati hao machinga wanavamia kila mahali na kujimilikisha maeneo bila mpangilio lakini leo wakitakiwa kuondoka wanajifanya kuleta habari ya kuwapanga hivi kwa akili za kawaida tu unaweza kufikiri kwamba sehemu kama kariakoo kwa wingi wao unaweza kupata eneo la kuwapanga na wakaenea wote?

Lakini ni vipi walinyamaza wakati watu waliodaiwa kuvamia maeneo ya barabara wakiondolewa kwa kubomolewa makazi yao na hatujasikia wakisema watafutiwe maeneo mengine kabla ya kubomolewa? au wale sio wanyonge au wale sio wapiga kura? Hawa watu hawana lingine lolote zaidi ya kutaka kuonesha utawala uliopo unaonea watu hususan hao wanaowaita wanyonge.
 
kuanzisha vita ukiwa within ni tactic nzuri sababu unamshambulia adui yako huku unamchekelea.. kuna baadhi ya wana CCM walijaribu ila wakaishia kusutwa, kuonywa na wengine hata kufukuzwa uanachama. Hawa wawili sidhani watafanikiwa maana ku-deal ya CCM ni kudeal na dola, Kumsema Amosi ni sawa na kumsuta aliyemteua.

Hii vita hawataiweza, ni kheri wakatulia tu sababu muda wao ushapita - Chama ni kile kile ila tushabadilisha beat na style ya kucheza kwa sasa.
 
Mbona watu wanapewa viwanja na serikali lakini wanabomolewa kwa kushtukiza na nyie mnanyamaza, mjue hizo nyumba wengine wanawatoto wachanga, wazee, wagonjwa na wengine huwa hawapo nyumbani, lakini hao hamuwajali kisa, eti siyo wapigakura wenu! Udhaifu huu ndio unatufanya tusiendelee.
 
Acha
Uzuzu acha kwa nin wabomoe usiku na sio mchana shame on you ,, Kwanin hawajakaa nao kuzungumza aache sulululu wenu kutunyanyasa
 
Mkuu bado nakushangaa!
Lazima pawepo na change katuka mindset.
Ati watafutiwe sehemu ya biashara
Ati wapangwe vizuri ili biashara zao ziende.
You are talking of impossibles here!
Tuwe reslistic , hatuwezi ku rationalise machingaism, its lawlessness.
Nothing is impossible under the sun, wala sitetei neither machingaism or its lawlessness yake. Ninachotetea ni kitu kinachoitwa a humane treatment kwasababu waliruhusiwa na JPM.

Baada ya kuwaruhusu wamachinga na kutafuna twenty twenty zao, leo huwezi kuwatimua kama mbwa.
P
 
Wanobomolewa nyumba za makazi huwa wanaandaliwa makazi mengine kabla ya kubomolewa? Kura tu ili mpate madaraka wakati mnamamlaka ya kunyofoa kura zote zinawafsnya muonekane dhaifu!
 
Enzi zile nyie mliisema CCM na kutuaminisha machinga wanaonewa..

sasa mnatuaminisha machinga ni kero, niwaambie tu hawa machinga ndiyo wale vibaka ambao kipindi cha magufuli tulisema amewamaliza ...

sasa tulieni huko mitaani kwenu muone show..
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Enzi zile nyie mliisema CCM na kutuaminisha machinga wanaonewa..

sasa mnatuaminisha machinga ni kero, niwaambie tu hawa machinga ndiyo wale vibaka ambao kipindi cha magufuli tulisema amewamaliza ...

sasa tulieni huko mitaani kwenu muone show..
Ni vitisho tu, uhalifu ni tabia na wapo watu wengi tu hawana kazi na si wahalifu.
 
Mkuu elvischirwa , hapa hakuna issue yoyote ya mpiga kura yoyote wa mtu yoyote, the issue ni moja, serikali ya JPM iliruhusu hui holela, serikali ya Sa100 inataka utaratibu, then twende nao taratibu. Hii issue ya wamachinga wa Dar, Mkuu wa mkoa wa Dar, Amos Makala, asipokuwa makini nayo, inaweza kwenda kula kichwa!.
P
 
Mkuu tuliofikiria kimkakati, tulijua tu kuwa machinga a.k.a “wanyonge”, walikuwa taken for a ride.
Ile ilikuwa a false political base kwa malengo ya kisiasa.
Tatizo kubwa hata chama tawala kwa sasa hakina strategic thinkers kuweza kupima na kuchambua msimamo huo wa wamachinga.
Mwalimu alisema ili tuendelee twahitaji vitu vinne:
-Watu
-Ardhi
-Siasa safi na
-Uongozi bora.

Katika hili la Machinga, hapakuwepo Siasa safi wala Uongozi bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…