GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi Tanzania inakuwaje huyu Agent wa CIA Tanzania kukaribishwa hadi chumbani?
Alipaswa ashughuke na biashara tu,
Wazawa kama Bakhressa na Moo wako busy na biashara.
Watu wa system mlikwama mnakwama wapi?
Unauliza watu wa system wamekwama wapi? Na wakati huyo ndio boss wa hao watu wa system, yaan yeye na swahiba wake Kikwete ndio wanaamua nani awe wapi na nani atoke!!

System ya hili taifa imeoza sana ndugu.
 
Sio rahisi watu walikua wana mfumo ndani ya serikali uoni siri nyingi za Magu zilikuwa zinavuja Kigogo😂😂
 
Huyu ana uraia wa nchi mbili,

Kwa


Unauliza watu wa system wamekwama wapi? Na wakati huyo ndio boss wa hao watu wa system, yaan yeye na swahiba wake Kikwete ndio wanaamua nani awe wapi na nani atoke!!

System ya hili taifa imeoza sana ndugu.
Aisee, wakulaumiwa nani?
 
Wakulaumiwa nani? Ni sisi watanzania wenyewe maana haya yanafanyika tukiwa tunaona.
Nchi ina wazee, ina jicho la nchi, ina walinzi wa nchi, wa kulaumiwa ni wazee na jicho la nchi kukubali kumwingiza kwenye siasa za nchi na kwenye system
 
Naam naam tuendelee Kula mtori nyama zipo chini
 
Kuna kipindi RA alikuwa ndio mweka hazina wa chama, wahuni aka La Cosa nostra sio watu.

HP anasema shughuli za chama hazifanyiki Lumumba, bahati mbaya kaitaja mpaka Upanga.... hahahaha.

ndani ya mitaa ya Kabul -Afghanistan.
 
Sio rahisi watu walikua wana mfumo ndani ya serikali uoni siri nyingi za Magu zilikuwa zinavuja Kigogo😂😂
Basi angeanza na huo mfumo wa ndani ya serikali kisha akafuata hawa manyangumi., sema hicho kizee cha msoga ndio kilikuwa kinamlinda kipindi hicho na ndio maana hata team msoga ilivyoishiwa nguvu jamaa akakimbia nchi.

Ila ccm makundi hayataisha, siri zitaendelea kuvuja tu, angalia taarifa nyeti anazozipata Mange kila siku.
 
Huyu ndiye mwenye DP world kwa msiofahamu. Na ndiye mtekaji mkuu.
Kama ndio mwenye dp world inabidi tumpe heshima kubwaaa mnoo
Maana faida ya Dp world inaonekana na imeleta mambo chanya kwq bandar yetu
 

Ukiona Rostam katokea ujue kweli kazi ya Polepole inafanikiwa. Hao pamoja na kina Kikwete ndiyo wanaolengwa na Polepole. Ndiyo wahuni wenyewe walioipiga photocopy serikali.
 
Naona wahuni taratibu mnaanza kutoka kwenye mashimo yenu mliyokuwa mnayatumia kujificha.
 
Ila ccm wote wahuni na mafusadi wote ni ccm nafkiru hata ile mahakama pale jirani na TCRA haifanyi kazi yoyote.. labda inafuganpopo
 
Huyu ndiye kati ya wale two boys men waliokuwa wanafanya mipango ya kuharalisha uharibifu ndani ya chama, naona chombo cua habari kimeitwa ili akamwage vumba!.
 
Nchi ina wazee, ina jicho la nchi, ina walinzi wa nchi, wa kulaumiwa ni wazee na jicho la nchi kukubali kumwingiza kwenye siasa za nchi na kwenye system
Hao wazee ndio maadui namba moja wa taifa hili ndugu, yaan hao ndio wapasa tuwapige vita ikiwezekana tuwamalize mmoja baada ya mwingine.

Maana wao walishaliuza hili taifa siku nyingi sana kwa maslahi ya familia na vizazi vyao, hivyo basi wanachofanya sasa hivi ni kupambana kuhakikisha system inabaki kwa watoto wao hili wao na vizazi vyao waendelee kuwa salama, na hawajali kabisa watanzania wengine wanaathirika vipi.
 
hahahaha, HP amesema hilo kundi walikuwa watano mmoja katangulia mbele ya haki, wanne bado wapo hai.

Namsaidia Polepole, waliotangulia mbele ya haki ni wawili.

ndani ya mitaa ya Kabul - Afghanistan.
Nafikiri hawafahamu vizuri. Ni kweli wawili ndio wametangulia. Edo na mzee wa mipango na mikakati mizito
 
DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Anaweza kuwa ni kweli hana nasaba na CCM lakini nafasi alizobahatika bahatika kuwa nazo kwa muda huo mfupi zilimuwezesha kufahamu mengi hata yale ya ndaani kabisa ambayo hata wenye muda mrefu na nasaba ndani ya CCM hawayafahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…