Uchaguzi 2020 Polepole ni wa kupuuzwa, eti CHADEMA haina hospitali, kwani Muhimbili ni ya CCM?

Ndio shida ya ccm, kila rasilimali za taifa wanasema ni za ccm,.mwisho wa siku watasema watanzania wote ni mali ya ccm
 
Kuna watu wanamuelewa, ikiwa humuelewi ujue wewe sio wake na wala haongei na wewe na sio size yako
 
Polepole tangu amekuwa katibu wa ccm Akili zake zimevia nilimdharau aliposhabikia Neno niyeye kwa nguvu kubwa Jamaa anazeeka vibaya
 
Tunaambiwa serikali imejenga hospitali na zahanati kila kata, hizo ndizo wataanza nazo Chadema, au Chadema wakiingia madarakani itabidi wazinunue kwa vile zimejengwa na serikali ya CCM.

Chadema kama chama mgechukuwa hata muda wenu kidogo kutembela hizo hospitali na zahanati ili kujiridhisha hayo mnayoyahaidi. Lakini mweshimiwa toka amerudi yeye hana habari na chochote, anatoa ahadi bila kujuwa anaahidi nini.
 
Acha ajinadi hivyo tu, maana mazuri mnataka yawe ya wote, Ila mabaya yanakuwa ya serikali ya CCM , hivyo si mbaya wakijinadi kwa mazuri yao.
 
Kama ni kqeli ameyanena hayo, basi atakuwa tayari amepandwa na uwendawazimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimecheka ki K--&- kweli
 
Yaani watu (manabii) 400 wakamtabiria mema tu, ushindi tu na yeye kichwa kikamvimba...

Bahati mbaya kwake ni kuwa, wote hao walikuwa manabii waongo, waoga na wadanganyifu kwa mfalme kwa maslahi yao kuwa "......Mungu asema, kwea tu, nenda kapigane utashinda...."
 

Mtu akisha kunywa maji ya kijani na kuvaa hizo nguo za kijani akili zinamtoka. Ukijaribu kufanya utafiti, utagundua kuwa kuna watua ambao walikuwa wazuri sana na ambao walikuwa wanatoa mawazo mazuri kwa manufaha ya nchi, ila baada ya kujiunga kijani, wamekuwa watu wa ovyo kabisa, Ata uwezo wao wa kufikiri haupo tena.
 
Ukiona kelele zinakuzidi tengenezeni na ninyi kwa serikali/chama chenu kwani mnafail wapi?
kweli CDM ni UTOPOLO tu.....
Hapo ndipo mnapofeli nyinyi sio wazalendo wa Nchi ni wazalendo wa Chama chenu, yaani mko radhi Taifa liangamie ili tu chama chenu kushinde. Huwa mnalishwa nini sijui huko mpaka akili zinaisha
 
Uelewa kumbe ni shida!

Viongozi wa CHADEMA na Lissu nwenyewe, wanadai ujenzi wa hospitali ni maendeleo ya vitu. Je, kama hospitali hazijengwi, hizo bima za afya wakipewa wananchi watatibiwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…