Uchaguzi 2020 Polepole ni wa kupuuzwa, eti CHADEMA haina hospitali, kwani Muhimbili ni ya CCM?

Walio tayari na bima za afya hawatibiwi?

Issue hapa ni gharama ya kuipata hiyo bima siyo kutibiwa.
 
Ina maana watu wasitibiwe hadi hospitali zijengwe kila kata? Kimsingi hoja ya bima ya afya kwa wote ni kumpa mgojwa uwezo wa kupata matibabu hospitali anayotaka.

Kama katibu mwenezi anajibu hoja namna hiyo bila mantiki au mashiko.... Sasa hao vijana wake wa Lumumba si ndio pumba kabisa..

Huyu kabla ya kampeni kuisha atakuwa mwanachama wa kawaida tu...
 
Pombe mbaya.. kuna umuhimu wa chadema kuanzankukudanya kodi ili nao wajenge barabara.
 
Wewe nawe ni great thinker kweli?
Labda nikurahisishie swali...Je kati ya Bima ya Afya na vituo bora vya afya kipi kitangulie?
 
Walio tayari na bima za afya hawatibiwi?

Issue hapa ni gharama ya kuipata hiyo bima siyo kutibiwa.
Rejea kwenye mada yako unayomtuhumu Polepole kwa lugha ya kumkashifu.

Kama unakubali walio na bima wanatibiwa, ukubali pia kuwepo kwa huduma ya afya inayoimarishwa na Srukali iliyoko madarakani.

Kwa hiyo kunahitajika maendeleo ya vitu kwanza ili yamwezeshe mtu kujiendeleza. Kujiendeleza kwa mtu ni pamoja na kuwepo huduma bora za afya zinazoweza kufikiwa kwa haraka (miundo mbinu za usafiri) inapohitajika. Huduma za afya zikiimarishwa (miundo mbinu, vifaa tiba, madawa, na watumishi) hapo ndipo mpango wa bima ya afya kwa wote unakuwa na maana.
 
Wewe nawe ni great thinker kweli?
Labda nikurahisishie swali...Je kati ya Bima ya Afya na vituo bora vya afya kipi kitangulie?

Hiyo bima ya afya ambayo ipo ya NHif Ni wezi tu... Makato makubwa na huduma mbovu...

Polepole Hana muda mrefu anatumbuliwa ukatibu wake.... Na hii Ni laana ya kukombatia CCM chotara na kuwabeza CCM asili..
 
Vipi kuhusu Chadema kuahidi kugawa madini yetu kwa " mabeberu" kupitia ilani yao ya uchaguzi!?
 
Wewe nawe ni great thinker kweli?
Labda nikurahisishie swali...Je kati ya Bima ya Afya na vituo bora vya afya kipi kitangulie?
Tunaweza kuwa na vituo vya afya bora kabisa lkn kama huna uwezo unawezafia kwenye geti la hospitali, wangapi wanarudishwa Muhimbili kwa kutokuwa na bima.

Bima ya afya inalenga kuwasaidia watu wa kipato cha chini kabisa sio kina Ndugai ambaye akiugua anapelekwa Apollo kutibiwa.
 
Huyo mpuuzi sijui alisoma shule gani hapa nchini, maana hatumii angalau point ya akili zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani hana akili kihivyo? Shida ya Polepole anataka kumuiga boss wake hadi anapitiliza.
Hiyo ni akili ya boss wake ndiye huwa anayefikiri hivyo, utopolo mtupu.
Ndio maana baada ya uchaguzi huu kuwa na kiongozi kama Lissu nchi itabadili mwelekeo maana state of mind ita change kwa kiasi kikubwa mno.
 
Mungu ibariki [emoji1241] Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polepole ameenda yaani hata Ofisi hawana wanatembea nazo mfukoni mwa Mwenyekiti
 
Polepole tangu amekuwa katibu wa ccm Akili zake zimevia nilimdharau aliposhabikia Neno niyeye kwa nguvu kubwa Jamaa anazeeka vibaya


Labda niuulizie vijana ambao ni Doctors ni Qualities zipi unaweza kusema kuwa huyu mtu ana Autism lakini in a mild or minor form
 
Kwa hiyo Tundu atatoa bima ya afya ya kutumia kwenye hizi hospitali za "maendeleo ya vitu"?
 
Huyo siku hizi sumsikilizagi kabisa kwani hayupo serious hata kidogo. Analeta mzaha kwenye mambo ya msingi
 
UNATESEKA SANAAAA AMEWASHIKA PABAYAAA PAMPA TO PAMPAA
CCM OYEEEEEEEEEEEEH......
Huyu ni mwimba mipasho wa TOT? Great thinker kweli na mipasho wapi na wapi acha kelele tupe food for thought, mambo ya fb hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…