Polepole: Nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba

Polepole tuambie nani alimpiga Lisu risasi haya mengine ni mambo yenu ya kihayawani tangu zamani

Kajamaa KANAFIKI sana na ningekua na uwezo NINGEKAPIGA SERO,,maana kn mambo mengi ya AJABU enzi za UTAWALA wao Hayana majibu hadi leo,,
 
Ndio aina ya viongozi wenu mwendazake alisema traffic rushwa 5000 ruksa hiyo ni kidogo. Ulikuwa kwenye usukani hukusema lolote. Katiba mpya n tume huru ni muhimu ili Wtz wachague viongozi si bora kiongozi
Weka VIDEO tuone ushaidi
 
Polepole kaanza kuzungumzia mambo haya ya democrasia na uongozi wakati wa mama Samia? Polepole yupo hata kabla mimi sijamjua Mama Samia kwa hiyo hapo hoja yako haipo sawa!
 
Basi tatizo limeanzia hapo, tunachokijadili hapa ni ukweli wa hii kauli na hiki kinachoendelea kwasasa kwenye huu utawala.
Hayo makando Kando aliyonayo shauriyake mwenyewe mana tukisema tujadili hayo tutajikuta kila mtu hastahili kukosoa chochote mana wote wana makando Kando mengi tu si ccm si upinzani.

🀣 nimecheka sana aisee sawa acha kazi iendelea tutafika japo tukiwa tumechoka sana.!!

Kusoma Cuba Kuna faida zake ndo kama hizi Sasa.
 
Hao CHADEMA au ATC hawana makando kando ? Kinachotakiwa kutizwamwa ni ujumbe ulio toka! Wewe ukimuona She he au mchungaji anazini na mke wa mtu ndo inakupa uhalali na wewe wa kizini? Great thinker huwa wanatizami mtu mapungufu yake na tabia za mtu tunaachana nazo ndo maana tunasema kila mtu anamapungufu ila mtu anayejitahidi kuwa mwadilifu ni mzuri kuliko mtu mbabaishaji asiye na dhamira njema!
 
Polepole kaanza kuzungumzia mambo haya ya democrasia na uongozi wakati wa mama Samia? Polepole yupo hata kabula mimi sijamjua Mama Samia kwa hiyo hapo hoja yako haipo sawa!

Simzungumzii Polepole wa toka enzi za shule ya msingi, namuongelea Polepole wa rasimu ya Warioba, utawala wa Magufuli na sasa chini ya Samia. Polepole wa kweli tumeomuona wakati wa Magufuli alipopata mlo. Huyo wa sasa ni refurbished.
 

Msimamo wangu uko wazi ulishirikiana na Magufuli kuendesha ukatili huna support yangu, hata unisomeshee watoto wangu Ulaya.
 
Simzungumzii Polepole wa toka enzi za shule ya msingi, namuongelea Polepole wa rasimu ya Warioba, utawala wa Magufuli na sasa chini ya Samia. Polepole wa kweli tumeomuona wakati wa Magufuli alipopata mlo. Huyo wa sasa ni refurbished.
Wewe ndo unapima watu?
 
Sasa Rais si ndio alikuwa anawaonya kwamba wawe kwa kiasi badala ya kuiba na kuvimbiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…