Polepole: Nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba

Polepole: Nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba

Mpumbavi
View attachment 2100413
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole

"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba kwamba kuna wenzetu wanakula kwa urefu wa kamba na kauli hii haikubaliki, mimi nilidhani watu watatoka, lakini wapi ni kwa sababu ni wanafiki" Polepole

Pia, soma: Thread 'Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...' Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
Mpumbavu kweli,hivi ktk mfumo was CCM Kuna mtu anaweza kumpinga Rais 😣
Mbona.yeye alipokwa anaturingishia MAVI8 Kuna mtu alimpinga!
Amekula amavimbiwa Sasa anatupulia!
Kuna mdau kakuuliza nani alimpigaLissu Risasi!?
Nami.naongeza hivi mnafikiri Damu ya Mawazo itawaacha salama
 
Ingelikuwa bora sana kama tungejadili hoja ya Polepole kama ina mashiko au la kuliko kuibeza kwa sababu tu eti hamumpendi. Suala la kiongozi mkuu wa nchi kuhalalisha wateule wake kufuja mali za umma bila kukemea kwa nguvu kubwa sio sawa. Hata kama anajua kuwa viongozi wanapata sehemu zao, je ni halali kushadadia hilo wakati wako pale kwa ajili ya kutoa huduma kwa wananchi na sio kula?? Hamuoni kuwa waliotoa hiyo kauli wanafurahi kuona mnaiunga mkono? Maana kupinga maoni ya Polepole ni kuunga mkono maneno hayo yaliyotamkwa. Pole pole yuko sahihi kuzungumza vile ingawa anaweza asiwe mtu sahihi wa kuongelea hilo maana alikuwapo kwenye system na mambo mengi ya hovyo yalitendeka huku akikaa kimyaa. Lakini haina maana leo hii akikemea suala ambalo sote tunalikemea basi tusiunge mkono hoja yake.
Aliyoyaongea ni mazuri ila yeye sio mzuri kiasi hicho. Tuichukue hoja yake na tusiwavimbishe kichwa waliotoa kauli hii.
Aache sisi tuongee yeye akae na mavieite Yake?
 
Polepole hata aongee zuri vipi ataungwa mkono na wanafiki wachache. Alishiriki kwa mkono wake kuua demokrasia hapa nchini, kisha leo anategemea demokrasia hiyo hiyo ipambane na hizo kauli za bibi ushungi. Ukate mahindi shambani, kisha njaa ikikuumiza uje hadharani unalia kisha utegemee kueleweka? Huyo Polepole sasa hivi akipewa uwaziri atanyamazia uhuni wote. Alipokuwa kwenye tume ya katiba mpya, alikuwa anapinga kwa nguvu zake zote cheo cha DC, alipopewa cheo hicho akanyamaza! Huyo muhuni hata akipiga kelele nani atamuelewa?
Ukizungumizia unafiki ata nyie chadema ni wanifiki tena wanafiki wakubwa, kama uchaguzi wa 2015 mlituletea lowassa ambaye mlimchafua kwa zaidi ya miaka nane kuwa ni mwizi na fisadi papa, kwa sababu ya swala la umoja na masilahi mapana ya taifa wananchi wakawaunga mkono na wote tuliona ule uungwaji mkono na wananchi 2015.sababu watu tulikuwa tumeichoka ccm kama ccm tukasema ngoja tuipe nguvu chadema pamoja na kashfa zote alizonazo mgombea wao.

Hili la pole pole kutoka hadharani na kuongea haya ,huu ni usaliti mkubwa kwa chama chake, nyinyi ambao hamna chakupoteza mpo kimya na unaharakati wenu uchwara utadhani tupo kwenye era ya kutafuta uhuru kutoka kwa mjerumani.

Haya kama angeyaongea lissu au lema mungu wenu mngekuja hapa kwa wingi na kuunga mkono hoja ,ila tu aliyeongea ni mtu ambaye hamumpendi mnakuja kumdhiaki yet kaongea vitu vya maana huo ndio tunauita unafiki ,nyie chadema ni wanafiki wakubwa ata kupata mamlaka itakuwa ni ndoto kwenu.
 
Tatizo la politicians wetu they always get their voice back wanapokua nje ya system why?

Mr. Polepole kipindi chako wakati kamba yako haijakatika hukuyasema haya kwa UHURU; kupotea kwa Saanane, kupigwa risasi na kuuliwa kwa Akwilina, kuvunjwa kwa haki za binadamu, kubinywa kwa demokrasi nchini etc etc ; hukusimama na kunyosha kidole kuyasemea ika sasa upo nje ya system unaongea....

Huu ni unafiki
Lakini vile viapo vyao wanavyofunga hadharani si ndiyo hivyo vinawafunga midomo wanapokuwa kwenye system?...

Tunapaswa kuhoji hii kitu; ..." Kwa vyovyote sitatoa siri za Baraza la mawaziri nitakazo zijua"..

Ina maana kuna mengi ya sirini yanaendelea kwe mihimili yote.

Ukitemwa unakua angalau huru kutema nyongo kama vyombo vya Dola havitakunyamazisha.
 
View attachment 2100413
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole

"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba kwamba kuna wenzetu wanakula kwa urefu wa kamba na kauli hii haikubaliki, mimi nilidhani watu watatoka, lakini wapi ni kwa sababu ni wanafiki" Polepole

Pia, soma: Thread 'Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...' Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
Hivi polepole, ameshindwa tekeleza ushauri wangu, (Rip mzee SEIF) alimuita Mara tatu ,akatubu kwenye kaburi lake Mambo yake yatanyooka
 
Ingelikuwa bora sana kama tungejadili hoja ya Polepole kama ina mashiko au la kuliko kuibeza kwa sababu tu eti hamumpendi. Suala la kiongozi mkuu wa nchi kuhalalisha wateule wake kufuja mali za umma bila kukemea kwa nguvu kubwa sio sawa. Hata kama anajua kuwa viongozi wanapata sehemu zao, je ni halali kushadadia hilo wakati wako pale kwa ajili ya kutoa huduma kwa wananchi na sio kula?? Hamuoni kuwa waliotoa hiyo kauli wanafurahi kuona mnaiunga mkono? Maana kupinga maoni ya Polepole ni kuunga mkono maneno hayo yaliyotamkwa. Pole pole yuko sahihi kuzungumza vile ingawa anaweza asiwe mtu sahihi wa kuongelea hilo maana alikuwapo kwenye system na mambo mengi ya hovyo yalitendeka huku akikaa kimyaa. Lakini haina maana leo hii akikemea suala ambalo sote tunalikemea basi tusiunge mkono hoja yake.
Aliyoyaongea ni mazuri ila yeye sio mzuri kiasi hicho. Tuichukue hoja yake na tusiwavimbishe kichwa waliotoa kauli hii.
Awamu ya pili, ya nne na ya sita zote zinafanana. Mungu atuokoe ila tunapingwa
 
View attachment 2100413
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole

"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba kwamba kuna wenzetu wanakula kwa urefu wa kamba na kauli hii haikubaliki, mimi nilidhani watu watatoka, lakini wapi ni kwa sababu ni wanafiki" Polepole

Pia, soma: Thread 'Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...' Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
Yaani kauli kama hii angetoa waziri mkuu wa uingereza saa hizi angeshabanwa na kujiulzulu.
Hii inaonyesha tuna rais level gani😂
 
Magufuli hawezi kuongea huo ujinga wa kula kwa urefu wa kamba! Waacheni wale kwa urefu wa kambana kufanya birthday!
Hawezi ongea kwakuwa alisha danja. Ila aliongea kipindi chake kuwa; polisi wale kwa urefu wa kamba zao, aka pesa ya kusafishia viatu. Ulipokuwa ukikutana nao barabarani uliona moto wao. Pia usiku kuzunguka kwenye ma bar kuzoa raia. Wakati wao wanazunguka na Kvant mifukoni mwao na kubeba mizigo. Sijui hata kama walikuwa wanatumia zana?
 
Hawakujitokeza kupinga kwa kuwa ndiyo ukweli. Hawakutaka kuwa wanafiki. Wanatakiwa wale kwa urefu wa kamba zao kama ilivyo kwangu na kwako.

Kinyume chake watakula na vya wengine. Wanaovimbiwa yawezekana kamba zao ni ndefu mno zipunguzwe au walipofungwa pana nyasi nyingi mno wapunguziwe muda wa malisho.
Tatizo hapo kula kwa urefu wa kamba mama alimaanisha kupiga hela ya umma. Iwe kwa kuhongwa au kuweka cha juu. Ili mradi ni kufisidi nchi. Hakuna shaka alimaanisha hivyo kwa sababu aliwalaani wale wa bandari kwa kutaka kufisidi kupita eti kamba zao.
Huyo ndio aina ya rais tunaye. Magufuli alikua 0 tolerance na corruption. Na hivyo ndivyo inatakiwa rais wa jamhuri awe..ukionyesha publicly una tolerate upigaji basi hiyo serikali itakua ni wizi mtupu.
 
Polepole kamba yake imefupishwa na imefungwa sehemu ambapo hamna majani maana alikula yote
Mpaka V8 alikula sasa sio mda wa kupiga kelele

Hapo kwa mama kuna ukweli na inajulikana kila sehemu watu wanakula na wengine mpaka wanauwa kwa tamaa zao hadi maasakari wameuwa sasa wakuambuwa wale kwa sitara ni sawa tu
Wizi mmekataa kuacha na wote tunajua

Wewe angalia Bank zinavyochungwa kuanzia nje mabunduki ukiingia ndani CCTV ila Kalamu imefungwa kamba huoni kuwa wizi ni nchi nzima? Hata anaeenda kuweka hela bado atapitia na Bik
 
Jikite kwenye mada kenge wewe,unampambania lissu wakati yeye yupo ubeligiji anakunywa double distiled vodka na mbebez za kizungu hana ata wasiwasi .
Si walisema mtambo wake haufanyi kazi, kuna risasi iligusa mshipa?
 
Nimeamini watanzania wengi ni wajinga.Ukiangalia wengi wameacha kujadili hoja ya msingi juu ya kuibiwa rasilimali zao kwa viongozi kuruhusiwa Kuiba wamebaki wakimjadili mleta hoja! Petty issues ambazo hazina msingi zimegeuka kuwa agenda na wapigaji wanatumia mwanya huohuo. Acha tupigwe tu [emoji119]
Inawezekana unaongea kinyume chake, hivi kwa uovu alioufanya Polepole akiwa meza kuu, unaweza ukampa nafasi ya kumsikiliza? Basi hata waliohukumiwa kesi za mauaji waachiliwe huru endapo wataongea mambo unavyodhani ni ya msingi. Polepole si wa kusikilizwa, anapaswa kunyea ndoo Lupango. Eti "unaijua vyeite" wewe? Tofauti gani na urefu wa kamba. Tena urefu wa kamba ina maana nzuri sana, tatizo ni hilo ulilolisema nani ameongea! Huwezi pewa vyeite kama kamba yako ni fupi.
 
Polepole analitafuta kwa nguvu valangati ka kisiasa.
Ndugai alianza hivyo hivyo, mwishowe akawa analia nimekosa mimi, nimekosa sana.
Stay tuned, Polepole ajali anaitafuta.

Aha, kwa hiyo Samia ni dictator au ni nini ?
 
Anacho kisema Pole pole ni kweli hasa!!huwezi sema vile!!na majibu yenu ya kejeli kwake mtakuja ficha nyuso zenu!!muda si mrefu mtayapata na Pole pole atakuwa shujaa!!

Alishapoteza ushujaa muda mrefu, hapo alipo analazimisha ushujaa uchwara. Unyama mwingi ulifanyika kwenye utawala wa Magufuli na alifurahia kwani alikuwa kwenye mlo, sasa hivi hayupo kwenye ulaji ndio anatafuta kick ili arudi kwenye mlo tena.
 
Inawezekana unaongea kinyume chake, hivi kwa uovu alioufanya Polepole akiwa meza kuu, unaweza ukampa nafasi ya kumsikiliza? Basi hata waliohukumiwa kesi za mauaji waachiliwe huru endapo wataongea mambo unavyodhani ni ya msingi. Polepole si wa kusikilizwa, anapaswa kunyea ndoo Lupango. Eti "unaijua vyeite" wewe? Tofauti gani na urefu wa kamba. Tena urefu wa kamba ina maana nzuri sana, tatizo ni hilo ulilolisema nani ameongea! Huwezi pewa vyeite kama kamba yako ni fupi.

Uovu upi alioufanya Polepole ?
 
Back
Top Bottom