peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye mada kenge wewe,unampambania lissu wakati yeye yupo ubeligiji anakunywa double distiled vodka na mbebez za kizungu hana ata wasiwasi .
Kina nani hao ambao walitaka kumuuwa hawapo?We boya kweli, Lisu yupo mamtoni anakula bata we mpori pori upo unaharisha hapa.
Mambo mengine muwe mnatumia akili kidogo. Huyo Lisu ni nani? Na anamsaada gani nchi hii? Km ni mzalendo kweli kinachomfanya ang'ang'anie kwa wazungu ni kipi? Kwanini asirudi apambane hapahapa. Maana aliodai wanataka kumuua hawapo!
Kama wewe ulisiondwa kukemea ule uchafuzi wa mitaa, na uchafuzi mkuu na badala yake ulibariki laana Ile unategemea Leo mwana chukua Chako mapema (ccm) alaani. Maajabu haya hupatikaa Tanzania pekeee🏃.View attachment 2100413
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole
"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba kwamba kuna wenzetu wanakula kwa urefu wa kamba na kauli hii haikubaliki, mimi nilidhani watu watatoka, lakini wapi ni kwa sababu ni wanafiki" Polepole
Pia, soma: Thread 'Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...' Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
Ana laana ya kushiriki chafuziEti mawaziri wajitokeze kulaan, hivi unaweza kulaani mzazi wako?? huyu polepole kichwa chake hakiko sawa.
Ukizungumizia unafiki ata nyie chadema ni wanifiki tena wanafiki wakubwa, kama uchaguzi wa 2015 mlituletea lowassa ambaye mlimchafua kwa zaidi ya miaka nane kuwa ni mwizi na fisadi papa, kwa sababu ya swala la umoja na masilahi mapana ya taifa wananchi wakawaunga mkono na wote tuliona ule uungwaji mkono na wananchi 2015.sababu watu tulikuwa tumeichoka ccm kama ccm tukasema ngoja tuipe nguvu chadema pamoja na kashfa zote alizonazo mgombea wao.
Hili la pole pole kutoka hadharani na kuongea haya ,huu ni usaliti mkubwa kwa chama chake, nyinyi ambao hamna chakupoteza mpo kimya na unaharakati wenu uchwara utadhani tupo kwenye era ya kutafuta uhuru kutoka kwa mjerumani.
Haya kama angeyaongea lissu au lema mungu wenu mngekuja hapa kwa wingi na kuunga mkono hoja ,ila tu aliyeongea ni mtu ambaye hamumpendi mnakuja kumdhiaki yet kaongea vitu vya maana huo ndio tunauita unafiki ,nyie chadema ni wanafiki wakubwa ata kupata mamlaka itakuwa ni ndoto kwenu.
Vii EitePolepole awe mpole kamba yake ilishakatika awaachie wengine nao wale
Jikite kwenye mada.Ili tupate ushahidi usioacha shaka, mpe jicho akishindwa uje umwage ushahidi.
Mama kaongea ukweli bila kupinda pinda. Viongozi wengi ufaidika na vyeo vyao- kwa mfano Safari za magari , kiongozi akiwa madarakani anaweza kusafiri kilomita nyingi za safari binafsi ambazo si za kikazi. Hapo utasemaje - si kiongozi amekula kwa urefu wa kamba yake. Mifano ipo mingi jinsi Viongozi wanavyofaidika na nafasi zao bila kuonekana kwamba wamewaibia wananchi.View attachment 2100413
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole
"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba kwamba kuna wenzetu wanakula kwa urefu wa kamba na kauli hii haikubaliki, mimi nilidhani watu watatoka, lakini wapi ni kwa sababu ni wanafiki" Polepole
Pia, soma: Thread 'Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...' Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
Kwahiyo kama hakuna wa kumpinga Rais kwanini mlimuita Magufuli dikteta??Mpumbavi
Mpumbavu kweli,hivi ktk mfumo was CCM Kuna mtu anaweza kumpinga Rais 😣
Mbona.yeye alipokwa anaturingishia MAVI8 Kuna mtu alimpinga!
Amekula amavimbiwa Sasa anatupulia!
Kuna mdau kakuuliza nani alimpigaLissu Risasi!?
Nami.naongeza hivi mnafikiri Damu ya Mawazo itawaacha salama
Hayo ni mawazo yako.Aha, kwa hiyo Samia ni dictator au ni nini ?
Kama hakumuunga mkono lowasa mbona hujawai kumuunga mkono dr slaa au ndo muendelezo wa unafiki ulionao wewe na wenzio?Unafikri kila mtu aliunga mkono ujio wa lile zee tapeli la siasa ndani ya CDM? Tafuta popote nilipounga mkono ujio wa Lowassa ndani ya CDM. Polepole anaongea ukweli sasa sio kwa mantiki ya ukweli, bali ni sehemu ya yeye kusaka kurudishwa kwenye ulaji.
Halafu ww kama wewe hujawahi kuwaunga mkono CDM, maana CDM tayari ina wapiga kura wa kutosha. Na isitoshe CDM haihitaji uungwaji wako mkono kwa lolote. Hiyo hoja vya polepole ipambanie ww maana akipata ulaji ww utafaidika.
Hayi ni mawazo yako.
Polepole anatema mate angani, akae alipo akisubiri yamwangukie utosini.
Samia ni kama mzazi mzembe mwenye mtoto mwiziAha, kwa hiyo Samia ni dictator au ni nini ?
Samia ni kama mzazi mzembe mwenye mtoto mwizi
Sasa baada ya majirani kumlalamikia sana kwamba mtoto wake anawaibia sana yeye ndio anamkanya mtoto wake kwamba mwanangu usiwaibie sana majirani wanalalamika iba kidogokidogo.
Huyo ni mzazi mzembe anaydekeza mtoto wake mwisho wa siku atakuja juta
HAKUNA WA KUTHUBUTUView attachment 2100413
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole
"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba kwamba kuna wenzetu wanakula kwa urefu wa kamba na kauli hii haikubaliki, mimi nilidhani watu watatoka, lakini wapi ni kwa sababu ni wanafiki" Polepole
Pia, soma: Thread 'Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...' Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
Njaa itamuuwa huyu jamaaaView attachment 2100413