MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,843
- 5,476
Mbowe na genge lake.Kwahiyo kauli ni sahihi kisa Lisu alipigwa Risasi?Polepole tuambie nani alimpiga Lisu risasi haya mengine ni mambo yenu ya kihayawani tangu zamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe na genge lake.Kwahiyo kauli ni sahihi kisa Lisu alipigwa Risasi?Polepole tuambie nani alimpiga Lisu risasi haya mengine ni mambo yenu ya kihayawani tangu zamani
Kwahiyo Polepole inatakiwa aendelee kuunga mkono mabaya?Tatizo la politicians wetu they always get their voice back wanapokua nje ya system why?
Mr. Polepole kipindi chako wakati kamba yako haijakatika hukuyasema haya kwa UHURU; kupotea kwa Saanane, kupigwa risasi na kuuliwa kwa Akwilina, kuvunjwa kwa haki za binadamu, kubinywa kwa demokrasi nchini etc etc ; hukusimama na kunyosha kidole kuyasemea ika sasa upo nje ya system unaongea....
Huu ni unafiki
Kwa hiyo huyo bibi ako au babu yako alipofariki naye ni gaidi? Vipi yule binti wa CHADEMA aliyefariki wiki jana nae ni gaidi maana ni mdogo sana kiumru kwa nini afariki kama sio gaidi! Nyie CHADEMA akili hamna kwa hiyo hata Watoto wanapofariki nao ni magaidi? kichwa panzi kweli wewe!Kwa taarifa yako gaidi jiwe ndio maana Mungu akaamua ampeleke haraka sana motoni .
Marehemu gaidi alikuwa anatumia vijana wake akina mfungwa sabaya
Na inawezekana kabisa nakumbuka wakati Raisi Mwinyi anamaliza muda wake Kuna mtia Nia mmoja alipiga biti kuwa atataja majina ya viongozi wote walioshiriki mauaji wananchi wakati wa operesheni ya vijiji vya ujamaa iliyoendeshwa na Raisi Nyerere ,Nyerere akataka kujitoa CCM.Hata ikipita miaka 10,kuna umuhimu wa tume huru kuundwa, ili kuchunguza na kuwataja hadharani wale wote waliohusika kwenye matukio ya mauaji/kupotezwa watu wasio na hatia, kupigwa risasi TUNDU LISSU chini ya utawala wa MAGUFULI, na report hiyo isiache mashaka yoyote, hata kama wamekufa watajwe tujue...
na majani kala kamalizaKamba yake ingekatika angekuwa mtu hatari zaidi ya mno! Polepole kamba yake imefupishwa zaidi ya mno! Ndiyo kelele zote unazozisikia
Wewe kila kitu Lissu!Polepole tuambie nani alimpiga Lisu risasi haya mengine ni mambo yenu ya kihayawani tangu zamani
Kuna kitu sijawahi elewa, enzi za Msoga kuna mtu alipigwa Bomu, kuna kijana Arusha Alipigwa risasi hadharani kwenye maandamano just like Akwilina na PM akasema wapigwe tu, owner wa Mwanahalisi alimwagiwa tindikali, kiongozi wa madaktari alitekwa akaja kupatikana ameng'olewa kucha bt sijawahi kuskia hili likihusanishwa na Mzee wa Msoga au Nape aliekua Katibu Mwenezi...Tatizo la politicians wetu they always get their voice back wanapokua nje ya system why?
Mr. Polepole kipindi chako wakati kamba yako haijakatika hukuyasema haya kwa UHURU; kupotea kwa Saanane, kupigwa risasi na kuuliwa kwa Akwilina, kuvunjwa kwa haki za binadamu, kubinywa kwa demokrasi nchini etc etc ; hukusimama na kunyosha kidole kuyasemea ika sasa upo nje ya system unaongea....
Huu ni unafiki
Mbona chadema waliwahi kumshambulia Lowassa ni fisadi na pia wakasema wanaushahidi na ufisadi wake lakini hao hao wakampokea kwenye chama chao na wakamkabidhi kuwa mgombea wa Uraisi pamoja na unafiki Huu walionyesha lakini bado wengine wanawaamini wanapotoa hoja zao inakuaje kwa Mhe PolePole iwe nongwa?
Acheni rais apingwe akifanya makosa, ataruhusuje mawaziri wafanye ufisadi eti sababu ni wakati wao halafu chadema wafurahi na kumbeza polepole kisa katoka hadharani na kulaani ile ruhusa? Chadema msipende kupinga Kila kitu kisa Polepole ni CCM.
Mbona mie nimeielewa tofauti kauli ya mh rais?View attachment 2100413
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole
"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba kwamba kuna wenzetu wanakula kwa urefu wa kamba na kauli hii haikubaliki, mimi nilidhani watu watatoka, lakini wapi ni kwa sababu ni wanafiki" Polepole
Pia, soma: Thread 'Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...' Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
Hivi CHADEMA Wana msimamo wa kupinga Kila aongealo Polepole?! Na hili ni la kumbeza?!!
Rais kateleza, Ila pia yeye ni mwanadamu. Ila kwa vile nikiongozi, Tena wa kidemokrasia, ilibidi ashambuliwe kweli kweli kwa kauli ile, mithili ya jinsi alivoshambuliwa Ndugai kwa kauli ake iliopelekea yeye kujiuzuru.
Hii nchi ni ngumu sana, hasa ukiwa unafuatilia mijadala ukiwa huna upande.
Nadhani shida ni mfumo wa elimu tulionayo.
Tuna kizazi Cha kijinga Sana, ambacho hata tungeanza Leo kua serious, Basi mabadiriko yata Anza kuonekana mwaka 2050.
Kwa Sasa, CCM ni hovyo, Ila Chadema ni hovyo zaidi, wamekua lakini bado Wana Mambo ya kiharakati. Vyama vingine ndio kabisaa.
Nilidhani TISS, 2022, tuleteeni Chuma zaidi ya kile kilichotangulia mbele ya haki halafu kidumu Hadi 2050.
Mawazo binafsi.
View attachment 2100413
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole
"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba kwamba kuna wenzetu wanakula kwa urefu wa kamba na kauli hii haikubaliki, mimi nilidhani watu watatoka, lakini wapi ni kwa sababu ni wanafiki" Polepole
Pia, soma: Thread 'Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...' Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
Siyo kukatika Ni kutighitiwa amekoza kuzogea ingekatika anngeruka ruka kila sehemu alePolepole awe mpole kamba yake ilishakatika awaachie wengine nao wale
Polepole analitafuta kwa nguvu valangati ka kisiasa.View attachment 2100413
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole
"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba kwamba kuna wenzetu wanakula kwa urefu wa kamba na kauli hii haikubaliki, mimi nilidhani watu watatoka, lakini wapi ni kwa sababu ni wanafiki" Polepole
Pia, soma: Thread 'Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...' Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
Huyu ni mgombea wetu 2025Polepole analitafuta kwa nguvu valangati ka kisiasa.
Ndugai alianza hivyo hivyo, mwishowe akawa analia nimekosa mimi, nimekosa sana.
Stay tuned, Polepole ajali anaitafuta.