Polepole: Nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba

Jikite kwenye mada kenge wewe,unampambania lissu wakati yeye yupo ubeligiji anakunywa double distiled vodka na mbebez za kizungu hana ata wasiwasi .

Ili tupate ushahidi usioacha shaka, mpe jicho akishindwa uje umwage ushahidi.
 
Kina nani hao ambao walitaka kumuuwa hawapo?
 
Pole Pole shujamaa hajaogopa kumweleza ukweli maushungi
 
Kama wewe ulisiondwa kukemea ule uchafuzi wa mitaa, na uchafuzi mkuu na badala yake ulibariki laana Ile unategemea Leo mwana chukua Chako mapema (ccm) alaani. Maajabu haya hupatikaa Tanzania pekeee🏃.
 

Unafikri kila mtu aliunga mkono ujio wa lile zee tapeli la siasa ndani ya CDM? Tafuta popote nilipounga mkono ujio wa Lowassa ndani ya CDM. Polepole anaongea ukweli sasa sio kwa mantiki ya ukweli, bali ni sehemu ya yeye kusaka kurudishwa kwenye ulaji.

Halafu ww kama wewe hujawahi kuwaunga mkono CDM, maana CDM tayari ina wapiga kura wa kutosha. Na isitoshe CDM haihitaji uungwaji wako mkono kwa lolote. Hiyo hoja vya polepole ipambanie ww maana akipata ulaji ww utafaidika.
 
Mama kaongea ukweli bila kupinda pinda. Viongozi wengi ufaidika na vyeo vyao- kwa mfano Safari za magari , kiongozi akiwa madarakani anaweza kusafiri kilomita nyingi za safari binafsi ambazo si za kikazi. Hapo utasemaje - si kiongozi amekula kwa urefu wa kamba yake. Mifano ipo mingi jinsi Viongozi wanavyofaidika na nafasi zao bila kuonekana kwamba wamewaibia wananchi.
 
Kwahiyo kama hakuna wa kumpinga Rais kwanini mlimuita Magufuli dikteta??

Hamuoni kuwa ninyi ni vigeugeu??

Kwani ni lazima upinge kinachosemwa na mtu usiyempenda??

Kwani huwezi kujadili hicho alichosema??

Na badala yake unamjadili aliyesema??
 
Kama hakumuunga mkono lowasa mbona hujawai kumuunga mkono dr slaa au ndo muendelezo wa unafiki ulionao wewe na wenzio?
,mimi binafsi kuunga mkono chadema sio jambo ila tunaangalia majority walifanyaje. Na kingine wewe usipo muunga mkono polepole wenzako watamuunga iwe kwenye mwanga au gizani endelea kubaki negative kwa kila jambo siku utakapoona upo peke yako ndo utakapoacha kutumia makalio kwenye kufanya maamuzi.
 
Hayi ni mawazo yako.
Polepole anatema mate angani, akae alipo akisubiri yamwangukie utosini.

Lkn hii ni “free Country“ na ana haki ya kutoa maoni yake kama Mbunge, kosa lake ni lipi ? Mbunge hapaswi kukosoa au kutoa maoni yake tena ?

Polepole ni Mbunge, kaona Serikali haifanyi sawa, anaikosoa, kosa liko wapi ?
 
Aha, kwa hiyo Samia ni dictator au ni nini ?
Samia ni kama mzazi mzembe mwenye mtoto mwizi
Sasa baada ya majirani kumlalamikia sana kwamba mtoto wake anawaibia sana yeye ndio anamkanya mtoto wake kwamba mwanangu usiwaibie sana majirani wanalalamika iba kidogokidogo.
Huyo ni mzazi mzembe anaydekeza mtoto wake mwisho wa siku atakuja juta
 

Halafu isitoshe Polepole ni Mbunge na kazi ya Mbunge ni kukosoa Serikali, Polepole hajafanya kosa lolote lile.
 
HAKUNA WA KUTHUBUTU

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Njaa itamuuwa huyu jamaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…