Polepole: Nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba

Lkn hii ni “free Country“ na ana haki ya kutoa maoni yake kama Mbunge, kosa lake ni lipi ? Mbunge hapaswi kukosoa au kutoa maoni yake tena ?

Polepole ni Mbunge, kaona Serikali haifanyi sawa, anaikosoa, kosa liko wapi ?
Alifanya hivyo wakati wa Magufuli, watu walitekwa na kuuwawa hakunyanyua domo.
 
Tatizo la politicians wetu they always get their voice back wanapokua nje ya system why?Mr. Polepole kipindi chako wakati kamba yako haijakatika hukuyasema haya kwa UHURU;kupotea kwa Saanane,kupigwa risasi na kuuliwa kwa Akwilina,kuvunjwa kwa haki za binadamu,kubinywa kwa demokrasi nchini etc etc ;hukusimama na kunyosha kidole kuyasemea ika sasa upo nje ya system unaongea....huu ni unafiki
That's why we need a new KATIBA kulinda haya,our no 1 atawajibika kuteua cabinet yake tu,viongozi wengine wote hasa CEOs wa Tiss,IGP,Mkuu wa majeshi,DCI ect ect...itabidi watume maombi na kufanyiwa interviews na kamati za Bunge(bila kusahau judge's)
 
Relax mkuu hii ni topic ya majadiliano na we have a right to disagree la muhimu ni FACTS ziheshimiwe na mambo mawili mabaya hayawezi kuleta jambo zuri moja,yaliyotokea kipindi cha President Kikwete ambayo yalileta hayo uliyoyasema ni muhimu sisi wote tukayaongelea na to demand the justice kwa wahanga hao,nipo nawe mkuu kwa hili.
 

Dr. Slaa nilimuunga mkono akiwa CDM sio nje ya hapo. Sumzuii yoyote kumuunga mkono lakini huwa siungi mkono wanafiki. Kama mpo mnaomuunga mkono gizani, sasa unasaka huruma ya nini? Sihitaji kuwa upande wa wengi zaidi ya kufanya ninachokiamini. Ww endelea kufuata upande walioko mabasha zako maana ndio wanaolipa maisha.
 
Kwahiyo Polepole inatakiwa aendelee kuunga mkono mabaya?
No no mkuu ,nilichokiandika mimi ni unafiki wake wa kuongelea wakati yupo nje ya system kandamizi ambayo yeye alikua ni senior guy,je kama nchi tunahitaji Reconciliation commission ili ukweli huu uongelewe ?we can debate this ili kuondoa dhana ya kuwa viongozi wetu hasa politicians they only have their voices back wanapokua nje ya system's.
 
Eti mawaziri wajitokeze kulaan, hivi unaweza kulaani mzazi wako?? huyu polepole kichwa chake hakiko sawa.
Yeye mwenyewe anazunguka mbuyu tu pia. Aseme yeye analaani. Tuanzie hapo. Ni mbabaishaji huyu jamaa, amevurugwa na kutupwa nje ya mfumo.
 
Mbowe ndiye aliyewaamuru walinzi wa eneo lile waondoke.
Mbowe ndiye aliagiza cctv kamera zitolewe
Hakuna askari mwenye makengeza akatumwa kazi akamimine mirisasi yote 38 ampate lisu mguu hao watakuwa wala unga waliotumwa kazi wakashindwa kulenga shabaha
 
Unaiwaza Chadema kuliko hata unavyomuwaza mume wako.
Me siwezi kuiwaza chadema wakati ninamaisha yangu kauli yangu nikuonesha tuwache double standard PolePole katoa hoja mjibuni kwa hoja sio kufanya personal attack huo unafiki mnaosema anao mbona 99.9% wanasiasa pia ni wanafiki kuanzia wa chadema mpaka CCM
 
AGAIN mkuu hii ni mada tunaijadili na hatuwezi wote tukawa na mawazo sawa,wewe umeona ni kosa kwa CDM kumchukua Mr.Lowasa kuwa presidential candidate wao ni kosa(ni absolute your right)mwingine ataona CDM waliamua kwa busara kumchukua Mr.Lowassa na wana facts zao,kuja kwa Mr.Lowassa CDM walifanikiwa kupata kura zaidi ya 6M za urais(hii ni rekodi hata Mr.Mrema hakuifikia),walipata wabunge wengi wa kuchaguliwa bungeni,na walifanikiwa kuchukua almost majiji yote hapa Tanzania,sasa why wewe uwanyoshee kidole kwa mafanikio yote haya!sometimes we need to relax kidogo ili kuonyesha demokrasia tuliyokua nayo humu..JF
 
Kwa taarifa yako gaidi jiwe ndio maana Mungu akaamua ampeleke haraka sana motoni .
Marehemu gaidi alikuwa anatumia vijana wake akina mfungwa sabaya
Mungu amhukumu mtu kwa kusikiliza majungu na chuki za chadema
 
Yeye hakutakiwa kusema hayo alipokuwa na collective responsibilities na hata sasa walio ndani hata kama hawapendi hawawezi sema nje; kwa sasa anayo haki kufanya hivyo...Tusipende kuwa na visasi visivyo na msingi...
 
Ni kweli watanzania wengi akili hana wanaacha kutetea maslahi ya taifa anaingiza stori za lisu kupigwa risasi,stori za mbowe wanatusaidia nini
 
Wewe kinakuwasha nini?.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Si waelewagi watu sijui lisu baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…