MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,843
- 5,476
Waliompitisha Lowasa kuwa mgombea vipi?Polepole haaminiki akija rais atakaemuunga mkono atatugeuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliompitisha Lowasa kuwa mgombea vipi?Polepole haaminiki akija rais atakaemuunga mkono atatugeuka
Acha kupaniki ile kauli ya VIETEEE ina shida gani? Hebu fafanuaOvyooo! Kuna Waziri aliyejitokeza kulaani Ile kauli ya VIETEEE???
Alikuwa anakula Kwa urefu WA kamba yake! Walimchunia!
Watalaani vipi kauli ya boss waoView attachment 2100413
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole
"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba kwamba kuna wenzetu wanakula kwa urefu wa kamba na kauli hii haikubaliki, mimi nilidhani watu watatoka, lakini wapi ni kwa sababu ni wanafiki" Polepole
Pia, soma: Thread 'Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...' Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
Rais amebariki rasmi ufisadi serikalini. Mfano angalia jinsi askari wa usalama barabarani wanavyopokea rushwa hadharani bila uoga na takukuru wanapokea mishahara na kupandishwa vyeoView attachment 2100413
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole
"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba kwamba kuna wenzetu wanakula kwa urefu wa kamba na kauli hii haikubaliki, mimi nilidhani watu watatoka, lakini wapi ni kwa sababu ni wanafiki" Polepole
Pia, soma: Thread 'Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...' Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
Akikujibu nitagWaliompitisha Lowasa kuwa mgombea vipi?
akikujibu hilo swali, rudi hapa na mrejesho. tumshukuru sana mama alienda hadi nairobi kumjulia hali pamoja na shinikizo na hofu zilizokuwa zimetawala kipindi kile, alienda, pamoja na kwamba lisu bado amemuona hana maana.Polepole tuambie nani alimpiga Lisu risasi haya mengine ni mambo yenu ya kihayawani tangu zamani
Aliowasema yeye.Kina nani hao ambao walitaka kumuuwa hawapo?
Aliwasema lini na wapi? Weka ushahidi hapa.Aliowasema yeye.
Kumbe hakuna aliyetaka kumuua?Aliwasema lini na wapi? Weka ushahidi hapa.
Quit beating around the bushes.Kumbe hakuna aliyetaka kumuua?
Ndio maana nasema ni mnafki na muongo analichafua Taifa kujifanya mkimbizi kwa Amsterdam.
Watanzania kwa kupenda kupotosha kauli wanastahili PHD. Kula kwa urefu wa kamba ni kula kwa kutegemea mshahara wako wa halali, imepotoshwa kisiasa na huyu mnafiki nae kaingia mazima katika upotoshaji.View attachment 2100413
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio basi usiongee na mimi". Polepole
"Mimi nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba kwamba kuna wenzetu wanakula kwa urefu wa kamba na kauli hii haikubaliki, mimi nilidhani watu watatoka, lakini wapi ni kwa sababu ni wanafiki" Polepole
Pia, soma: Thread 'Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...' Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Si kweli kama hampati kwenye maeneo yenu. Jipimieni...
Umekuwa nabii wa majanga, unayetegema kufeli badala ya kufanikiwa.Anacho kisema Pole pole ni kweli hasa!!huwezi sema vile!!na majibu yenu ya kejeli kwake mtakuja ficha nyuso zenu!!muda si mrefu mtayapata na Pole pole atakuwa shujaa!!
Mbona we ni mkongwe kabisa jf?naamini umejiunga kabla yangu humu?ina Maana huoni hata kinachoendelea jamvini!!!??Huwa unasoma nyuzi zipi?? Pole pole ni mbwa anaebweka mwenye Mbwa yupo nyuma yake!!!!sasa kama una akili ungejiuliza Mwenye Mbwa ni nani?ni maiti iliozikwa chattle au ni nani hasa???!!!jitahidi kuwa na macho au hauli mboga za majani siku hizi??aiseh!!!acha niishie hapa!!Umekuwa nabii wa majanga, unayetegema kufeli badala ya kufanikiwa.
We unajua majukumu ya wapambe wa Magu?Uovu upi alioufanya Polepole ?
Watanzania kwa kupenda kupotosha kauli wanastahili PHD. Kula kwa urefu wa kamba ni kula kwa kutegemea mshahara wako wa halali, imepotoshwa kisiasa na huyu mnafiki nae kaingia mazima katika upotoshaji.