Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,146
- 15,927
Exactly, watawafanya muwe engaged mpaka muda ufike. CCM wametumia sana hiyo mbinu ya 'manufacturerd conflict' ku distract watu.Muda bado sana
Manabii wa kujaza gesi kwa kupuliza na mdomo, Gwaji nadhani atakuwa anajmbia kwenye mtungi
Muda badoExactly, watawafanya muwe engaged mpaka muda ufike. CCM wametumia sana hiyo mbinu ya 'manufacturerd conflict' ku distract watu.
Na huyo mgombea wao hata nguvu za kufanya kampeni nchi nzima sifhani kama anazo. Kwahiyo ni kuiba tu.
Ukweli mchungu. Only a thing which could change our political and economic situations is coup/ army. But not these rubbish rules and lawsKijasusi zinaitwa psyops.
Matumaini kuwa kuna mtu / watu wenye nguvu au kuna Mungu ataingilia kati na kurejesha haki zako is a powerful thing inayoweza kukufanya uendelee kungoja ili kuona nini kitatokea.
Unfortunately utangoja sana, itakuwa mara July mara September, ukija kushtuka wanaapishwa bila shida yoyote.
Kama walifanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, wakarudia tena GE 2020, na tena LGE 2024. Kungojea watu haohao wakutendee haki hii 2025 ni ndoto za mchana. Pia kuwa na matumaini kwamba kuna some bigger force itaingilia kati ni kujidanganya.
Dhalimu akinyang'anya haki yako bila consequences za aina yoyote basi jiandae kupoteza haki zaidi. Kwa mfano safari hii wamehalalisha uharamu wa GE 2020 kwa kutunga sheria kabisa ya tume "huru", yaani wataiba kwa mujibu wa sheria.
Sisemi nenda kapiganie haki zako, ninachosema ni kwamba acha kuwa na matumaini hewa, hakuna akatakayepigania haki zako wala kukupa hizo haki bure, isipokuwa wewe mwenyewe.
Enzi zetu tulilijua hilo tangu tuko shule, ilikuwa kama upande wa pili hawasikikizi basi tunakiwasha na kila mmoja anabeba consequences za 'kunji' hilo, lakini mwisho wa siku nobody took us for granted!
We ht akili zako ni uchwara, unabwabwaja upuuzi usio na kichwa wala miguuKijasusi zinaitwa psyops.

No one is coming to save you my friend! Ukweli unaweza kuwa mchungu lakini ndio ukweli.We ht akili zako ni uchwara, unabwabwaja upuuzi usio na kichwa wala miguu
Tulifanya kwenye scale ndogo tuliyokuwepo. Uliza watoto wa siku hizi, mpaka shule za boys wanavalishwa shamba dress na kufungiwa getini.mazingira ya kunji ni sawa na scenario iliyopo?wakati wenu wa kunji kulikuwa na mashitaka ya uhaini?
Absolutely., hakuna akatakayepigania haki zako wala kukupa hizo haki bure, isipokuwa wewe mwenyewe.
Watatengenezewa sinema mpaka mtu anaapishwa, alafu wataitwa mezani kufanya "maridhiano"!Kuwazubaisha Chadema ni kazi rahisi sana. Sasahivi Mpina anatukanwa wakati wiki mbili tu nyuma alikuwa lulu yao.. Leo hii Polepole anapambwa zaidi ya Mwenyekiti wao aliye jela sasa subiri Polepole akitimkia ACT au akiridhiana na CCM uone matusi atakayokula
Yup.Ukweli mchungu. Only a thing which could change our political and economic situations is coup/ army. But not these rubbish rules and laws
Sidhani, CCM wanajua kula pamoja. Na wataila hii nchi mpaka siku waondolewe kwa lazima.Muda bado
Wanaweza kuona wamefanikiwa kuchukua fomu ila huko mbele mambo yatakuwa mabaya sana
Sasa pole2 na manabii wanahusiana nn?Kijasusi zinaitwa psyops.
Matumaini kuwa kuna mtu / watu wenye nguvu au kuna Mungu ataingilia kati na kurejesha haki zako is a powerful thing inayoweza kukufanya uendelee kungoja ili kuona nini kitatokea.
Unfortunately utangoja sana, itakuwa mara July mara September, ukija kushtuka wanaapishwa bila shida yoyote.
Kama walifanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, wakarudia tena GE 2020, na tena LGE 2024. Kungojea watu haohao wakutendee haki hii 2025 ni ndoto za mchana. Pia kuwa na matumaini kwamba kuna some bigger force itaingilia kati ni kujidanganya.
Dhalimu akinyang'anya haki yako bila consequences za aina yoyote basi jiandae kupoteza haki zaidi. Kwa mfano safari hii wamehalalisha uharamu wa GE 2020 kwa kutunga sheria kabisa ya tume "huru", yaani wataiba kwa mujibu wa sheria.
Sisemi nenda kapiganie haki zako, ninachosema ni kwamba acha kuwa na matumaini hewa, hakuna akatakayepigania haki zako wala kukupa hizo haki bure, isipokuwa wewe mwenyewe.
Enzi zetu tulilijua hilo tangu tuko shule, ilikuwa kama upande wa pili hawasikikizi basi tunakiwasha na kila mmoja anabeba consequences za 'kunji' hilo, lakini mwisho wa siku nobody took us for granted!
Wana preach the same gospel.Sasa pole2 na manabii wanahusiana nn?
Watu huwa hamoendi kuambiwa ukweli lzm mtafute kwa kujificha!
Ila muda Bado ,ndo kwanza afajiri