Bwana mdogo, unaongelea jeshi lipi, hili letu lla kulinda maslahi ya chama pendwa!Ukweli mchungu. Only a thing which could change our political and economic situations is coup/ army. But not these rubbish rules and laws

No connection at allWana preach the same gospel.
Sure! Ila tunaumia sie wananchi wa kawaidaSidhani, CCM wanajua kula pamoja. Na wataila hii nchi mpaka siku waondolewe kwa lazima.
Kabla ya mfumo wa vyama vingi ilikuwa lazima upite TANU youth league/ UVCCM ili kujiunga na jeshi. Wengi wa viongozi jeshini, polisi na usalama ni wana CCM wa itikadi kabisa.Bwana mdogo, unaongelea jeshi lipi, hili letu lla kulinda maslahi ya chama pendwa!
Bro hii post Iko poa sana! 🙏🙏🙏🙏Kijasusi zinaitwa psyops.
Matumaini kuwa kuna mtu / watu wenye nguvu au kuna Mungu ataingilia kati na kurejesha haki zako is a powerful thing inayoweza kukufanya uendelee kungoja ili kuona nini kitatokea.
Unfortunately utangoja sana, itakuwa mara July mara September, ukija kushtuka wanaapishwa bila shida yoyote.
Kama walifanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, wakarudia tena GE 2020, na tena LGE 2024. Kungojea watu haohao wakutendee haki hii 2025 ni ndoto za mchana. Pia kuwa na matumaini kwamba kuna some bigger force itaingilia kati ni kujidanganya.
Dhalimu akinyang'anya haki yako bila consequences za aina yoyote basi jiandae kupoteza haki zaidi. Kwa mfano safari hii wamehalalisha uharamu wa GE 2020 kwa kutunga sheria kabisa ya tume "huru", yaani wataiba kwa mujibu wa sheria.
Sisemi nenda kapiganie haki zako, ninachosema ni kwamba acha kuwa na matumaini hewa, hakuna akatakayepigania haki zako wala kukupa hizo haki bure, isipokuwa wewe mwenyewe.
Enzi zetu tulilijua hilo tangu tuko shule, ilikuwa kama upande wa pili hawasikikizi basi tunakiwasha na kila mmoja anabeba consequences za 'kunji' hilo, lakini mwisho wa siku nobody took us for granted!
Watakuwa wanawaambia tu mara hiki mara kile huku muda unaenda na mwisho wa siku watu wanajibebea kilakitu. Kitu pekee serikali inakiogopa ni uprising ya wananchi wenyewe.Sasa pole2 na manabii wanahusiana nn?
Watu huwa hamoendi kuambiwa ukweli lzm mtafute kwa kujificha!
Ila muda Bado ,ndo kwanza afajiri
ExactlyWatakuwa wanawaambia tu mara hiki mara kile huku muda unaenda na mwisho wa siku watu wanajibebea kilakitu. Kitu pekee serikali inakiogopa ni uprising ya wananchi wenyewe.
Kijasusi zinaitwa psyops.
Matumaini kuwa kuna mtu / watu wenye nguvu au kuna Mungu ataingilia kati na kurejesha haki zako is a powerful thing inayoweza kukufanya uendelee kungoja ili kuona nini kitatokea.
Unfortunately utangoja sana, itakuwa mara July mara September, ukija kushtuka wanaapishwa bila shida yoyote.
Kama walifanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, wakarudia tena GE 2020, na tena LGE 2024. Kungojea watu haohao wakutendee haki hii 2025 ni ndoto za mchana. Pia kuwa na matumaini kwamba kuna some bigger force itaingilia kati ni kujidanganya.
Dhalimu akinyang'anya haki yako bila consequences za aina yoyote basi jiandae kupoteza haki zaidi. Kwa mfano safari hii wamehalalisha uharamu wa GE 2020 kwa kutunga sheria kabisa ya tume "huru", yaani wataiba kwa mujibu wa sheria.
Sisemi nenda kapiganie haki zako, ninachosema ni kwamba acha kuwa na matumaini hewa, hakuna akatakayepigania haki zako wala kukupa hizo haki bure, isipokuwa wewe mwenyewe.
Enzi zetu tulilijua hilo tangu tuko shule, ilikuwa kama upande wa pili hawasikikizi basi tunakiwasha na kila mmoja anabeba consequences za 'kunji' hilo, lakini mwisho wa siku nobody took us for granted!
Bro hii post Iko poa sana! 🙏🙏🙏🙏