Polepole pamoja na hao manabii wanawapa matumaini hewa kusukuma siku mpaka uchaguzi upite

Bwana mdogo, unaongelea jeshi lipi, hili letu lla kulinda maslahi ya chama pendwa!
Kabla ya mfumo wa vyama vingi ilikuwa lazima upite TANU youth league/ UVCCM ili kujiunga na jeshi. Wengi wa viongozi jeshini, polisi na usalama ni wana CCM wa itikadi kabisa.

Na hata leo japo katiba hairuhusu lakini wapo vigogo kwenye hivyo vyombo ni wana CCM. Alafu wanaapa kuilinda katiba hiyohiyo wanayoivunja bila aibu na uso mkavu kabisa.
 
Bro hii post Iko poa sana! πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Sasa pole2 na manabii wanahusiana nn?
Watu huwa hamoendi kuambiwa ukweli lzm mtafute kwa kujificha!

Ila muda Bado ,ndo kwanza afajiri
Watakuwa wanawaambia tu mara hiki mara kile huku muda unaenda na mwisho wa siku watu wanajibebea kilakitu. Kitu pekee serikali inakiogopa ni uprising ya wananchi wenyewe.
 


Umeandika Kwa kutumia Akili kubwa Sana. True.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…