Kwa hali hii Ndugai alikuwa sahihi! Nchi imeshauzwa kwa wajanja.Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .
Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori
HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MAKAA YA MAWE NA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI
Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.
Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Kwa katiba ya Tanzania na tume ya uchanguzi hata Kikwete akiwa upinzani hapatiNawaza...ningekuwa na uwezo ningemchukua;
1. Cyprian musiba,
2. hamphrey pole pole,
3. josphat gwajima,
4. January makamba,
5. luhaga Mpina,
6. John heche,
7. Boniface mwabukusi.
Hawa ningewapa chama kimojawapo waingie wasimamishe mgombea Urais alafu wapambane na ccm tukutane kwa box la kura ....wangefanikiwa kumpiga shetani na vibaraka wake wote asubuhi na mapema🤣. Ila ndio hivyo Sina uwezo tu basi
Rostam ni CIA, hawezi kudeal na ndugu zake Wairan.Ina maana haya madini ya uranium ndiyo yanapelekwa Iran kutengeneza mabomu ya kuimaliza Israel, yaani kama ndiyo hivyo tutegemee vifo zaidi maana EU na USA hawatakubali
Rostam ni CIA, hawezi kudeal na ndugu zake Wairan.
Kiasili Rostam siyo Muhindi ni Muhajemi ndio hao Wairan.
Ndugai alikuwa ni mkia wa Magufuli, hata kama aliongea ukweli matendo yake bado yanamuhukumu leo.Kwa hali hii Ndugai alikuwa sahihi! Nchi imeshauzwa kwa wajanja.
Katibu mkuu Mwenezi wa CCM Taifa mjumbe wa kamati kuu. Balozi usalama asijue ilo jambo kwelimoja ya shida ya politicians wa Tanzania ni kuishi kwa hear says, hili lilimuathiri TL kwenye makinikia, JPM pia lilimletea shida kwenye makinikia, Leo namuona HP anakwenda kulekule.
TL hata kwenye kifo cha JPM aliingia chaka pia tena mbele ya BBC na kuleta habari za uongo, binafsi nilimuoutsmart TL na kugundua he is not well informed.
ndani ya mitaa ya Kabul, Afghanistan.
Pale TRA Edward Sokoine Drive si unapajua? Nenda kwa Kamishna wa Large Taxes kahoji hayo.. Au mwoga kama nyumbu wengine mnaishia kuandika tuKule Mkoa wa Ruvuma, wilaya ya Mbinga, mji mdogo wa Ruanda, Rostam Aziz kupitia kampuni yake ya Taifa gas amenunuwa mgodi wa makaa ya mawe uliokuwa ukimilikiwa na Tancoal.
Hapo hamna jinai, hamjui bado kuyabana haya majizi kwa fact.
Ikumbukwe Ccm hapo hapo Ruanda wanamiliki mgodi wa makaa ya mawe kupitia kampuni yao ya Jitegemee holdings co ltd, hawa ndio wakuwabana wamepataje mgodi huu na hesabu zao za kodi TRA ziko vipi?
Free LissuWakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .
Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori
HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MAKAA YA MAWE NA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI
Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.
Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Katibu mkuu Mwenezi wa CCM Taifa mjumbe wa kamati kuu. Balozi usalama asijue ilo jambo kweli
Tuliza wowowo, wapo wenye kazi yao ya investigation news.Pale TRA Edward Sokoine Drive si unapajua? Nenda kwa Kamishna wa Large Taxes kahoji hayo.. Au mwoga kama nyumbu wengine mnaishia kuandika tu
Ile yellow cake inafungwa kwenye drums inasafirishwa vizuri tu bado haijarutubishwa. Unafikiri kutoka mgodini inabebwa na nini?Uranium haiwezi safirishwa na Malori mkuu nazani unazungumzia makaa ya mawe
Alafu ilishawahi kusaidia nini we punguani? Bwana enu Lissu yupo ndani mwezi wa ngapi huu mnaishia kuandika tu na slogan kibao zisizotekelezeka?Tuliza wowowo, wapo wenye kazi yao ya investigation news.