Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

Makaa ya nawe sawa, Uranium Nina Shaka kubwa kwani hii ni radio active material can not be transported by open trucks. Anyway labda mmeyaona barabarani.
 
Mimi sioni shida yoyote Rostam azizi kufanya hiyo biashara, kikubwa tu afanye kihalali kunakasumba moja humu nchini wazawa wakifanya kazi zenye fedha nyingi wanaulizwa pesa wamepata wapi wanakuja wageni hawana hata senti tano wanatumia mabenk yetu na Rasilimali zetu kukopea mitaji na kutuibia wala hawafanywi kitu.Rostam amewekeza miradi mingi sana humu nchini na ameajiri wazawa wengi sana , na analipa mabilioni ya Kodi.Kama kunaulakini ktk miradi yake mambo ya fanywe kisheria sio kisiasa.Kwa jinsi ninavyo mjua Rostam ni mtu mwenye aakili nyingi mkimwendea kizombi zombi anawafilisi
 
Kwa udogo wangu na nguvu zangu ndogo plus umasikini wangu sina cha kuwafanya hao majizi ila nawaombea mateso makali sn na wasife haraka ili waonje joto la jiwe
 
Uranium haiwezi safirishwa na Malori mkuu nazani unazungumzia makaa ya mawe
Au makaa ya uranium labda , ila inauma sana kuibiwa na mgeni bora mzawa ndio akwapue kupigwa na wakuja dharau sana
 
Kwa udogo wangu na nguvu zangu ndogo plus umasikini wangu sina cha kuwafanya hao majizi ila nawaombea mateso makali sn na wasife haraka ili waonje joto la jiwe
Mbona umekata tamaa mapema mkuu? Safari ndefu ila tupo kwenye njia sahihi, Consistency muhimu sana hadi wahuni wakome
 
Rostam ni mfanyabiashara na makampuni yake ya Taifa/Caspian. Sasa kama Kuna Uranium KWA nini asisafirishe? Tuwekeeni kosa au data ya wizi huo ili tukosoane KWA hoja.

Hapo nasitisha ushabiki KWA muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…