MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Akili za kipumbavu kama zako ndo zimesababisha hadi leo nchi inalipa fidia za tangi awamu ya kwanza kwa kutaifisha kiholela mali za watu. Kabla hujachukua hatua lazima uwe na ushahidi usiotia shaka ili baadae usije ukaingia matatizo kulipa fidia.Pale kawe Kuna mradi wa ujenzi wa apartments za NHC mkubwa tu
Kampuni inaonekana ya wazawa.! wakati ni jasusi la kihindi limejificha kwa vivuli vya wastaafu
Fukuzeni Hawa mbwa
Mboni Wahindi kibao tu Wamezaa na Kuzalishwa na Wabongo mkuu punguzeni hizo hayo mengine ya ufisadi sawa ila haya hapa hapanaMtu anashirikiana na wewe lakini hataki kujamiiana na wewe na unaona ni mwenzako.!
Yaani una maana ROSTAM AZIZ, kada wa CCM?Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .
Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori
HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MAKAA YA MAWE NA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI
Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.
Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Swali zuri sana.Nini ushauri wako km taifa tufanye bila kujari wakati tulionao kabla hatujatanguliza kukata tamaa mbele
Na nani?ana miliki serikali na mihimili yote nan wa kumkamata?Rostam akamatwe haraka
Asante umejitahidi kupita kote mkuu ila kuna namna mamlaka zimetengeneza watu tuwe waoga wa kusema kwa kututeka ,kutupoteza nk . Swali langu ni kwanini vyombo vya ulinzi vinashiriki kutuhujumu au nao wao wamenunuliwa sasa km taifa tuko salama wapiSwali zuri sana.
Siwezi kuingia sana ila kama Taifa mmonyoko wa maadili upo mkubwa sana,tumekosa wazee wa taifa wakiongea basi kama Taifa linakwenda ndivyo sivyo tunarudi kwenye mstari sahihi na watu tunaogopana kuambiana ukweli pale tunapokosea.
Vyombo vya ulinzi na usalama kukaa kwao kimya wakati mambo yanaenda mlama,tunaona kama wapo pamoja na wahuni.
All in all mambo yanayofanyika sasa kwa viongozi kuweka watoto wao kwenye system, Taifa linatengeneza bomu baadae, itafikia kama mzee wako akuwa kwenye system kupata uongozi itakuwa ngumu sana.
Mwisho tuache itikadi zetu za siasa, uccm, uchadema,ucuf na kadhalika tuwe kitu kimoja kukemea na kuondoa makando kando yanayosababisha kuharibika kwa Taifa letu.
Yes inasemekana wamejipenyeza huko, hata meno mkuu wa sasa ni mwana mtandaoAsante umejitahidi kupita kote mkuu ila kuna namna mamlaka zimetengeneza watu tuwe waoga wa kusema kwa kututeka ,kutupoteza nk . Swali langu ni kwanini vyombo vya ulinzi vinashiriki kutuhujumu au nao wao wamenunuliwa sasa km taifa tuko salama wapi
Huyu mtu amesemwa miaka mingi sana kuwa tapeli na haramia mkuu lkn CCM ndio wanakwiba nae pamoja!Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.
Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Kwa hiyo anatekeleza matakwa ya wana mtandao ndio maana anaburuza tu hijab zake?Yes inasemekana wamejipenyeza huko, hata meno mkuu wa sasa ni mwana mtandao
Mkuu wa kufanya haya sio hawa ccm, hawa wameshakuwa sehemu ya haya maharamia wanaoibaka nchi!Kampuni inaonekana ya wazawa.! wakati ni jasusi la kihindi limejificha kwa vivuli vya wastaafu
Fukuzeni Hawa mbwa
Siongelei namba 1 naongelea meno mkuu, ni mwanamtandao.Kwa hiyo anatekeleza matakwa ya wana mtandao ndio maana anaburuza tu hijab zake?
Nimekupata mkuu kwa mwenendo huo ni sahihi hatuwezi kupata no1 mwingine kutokea upande wa mboga mboga kwa maana wana mtandoa wana sub za kutosha za kutuleteaSiongelei namba 1 naongelea meno mkuu, ni mwanamtandao.
Namba 1 ameingia kwenye mfumo wa wanamtandao. Inawezekana pia namba 1 mwanamtandao alikuwa anamuhujumu mwendazake bila kujijua
Akamatwe na nani wakati ndio wanaompangia kizmkazi nn cha kufanya, hao ndio wahuni wenyewe mkuu!Rostam akamatwe haraka
Kwani uchaw unapatikana wap nijitolee ata kuyaroga yn apo nafagia jk na izo nyau zake zilizopita kiujanja unja bila kupigwaAkamatwe na nani wakati ndio wanaompangia kizmkazi nn cha kufanya, hao ndio wahuni wenyewe mkuu!
Kumbuka Rostam na JK ni marafiki na wametoka mbali...huyo ndiye alihusika pakubwa kwenye kumuingiza JK pale magogoni!
Sahihi kabisa mkuu.Nimekupata mkuu kwa mwenendo huo ni sahihi hatuwezi kupata no1 mwingine kutokea upande wa mboga mboga kwa maana wana mtandoa wana sub za kutosha za kutuletea
Kuna mda naona giza mbele mkuuSahihi kabisa mkuu.
Ofcourse giza lipo na litakuwepo ila tunatakiwa kupaza sauti na kuchukua hatua mkuu.Kuna mda naona giza mbele mkuu
Hata hicho kinachoitwa taarifa sahihi, unaweza ukawa "Masked" kunakuwa na mchongo umetengenezwa kisiri Siri, ili watu Fulani wapate dili kihalaliKwenye Coal (makaa ya mawe) RA kupitia kampuni yake ya TAIFA Hana shida yeyote maana amechukua hisa kutoka Tancoal kwenye kesi waliyoishinda mahakamani baada ya kuwa wanamdai Tancoal kutokana na huduma waliyompa kwa muda mrefu bila kulipa, Tancoal alikubali kussurender hisa zake kufidia deni.
Kuna wakati ni vyema tukatafuta taarifa sahihi.
ndani ya mitaa ya Kabul, Afghanistan.
Duuh inasikitishaHii ni hatari sana
Kuna kupotea km mdude maana wana mtandao ni km wametapakaaa na chakushangaza ni mamlaka kuziba masikio yani km wamepigwa upofuOfcourse giza lipo na litakuwepo ila tunatakiwa kupaza sauti na kuchukua hatua mkuu.