Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
- Thread starter
-
- #121
Kwahiyo Mungu anaweza kumove kwa kutajwa cheo chake?Aliyesema Tumtangulize Mungu alikuwa Nani?
Tuthibitishie kuwa Mungu alitumia Covid-19 kumwadhibu Magufuli.Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko.
Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho.
Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu.
Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu.
Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania yamtafute na kumuua.
Yaliua watu wake wa karibu kwanza na yalipomuua muhusika mkuu ambaye ni Magufuli Mungu akayaondoa mapepo ya COVID-19 Tanzania.
Apart from mihemko, huu ndio ukweli nilioupata kitini kwa Mungu.
Kama ninadanganya basi Mungu wa mbinguni anihukumu Mimi.
Ningeandika ya kwangu au ya kusadikika ningelijibu kila post kutetea Uzi wangu lakini sitafanya hivyo.
Wapo watakaouliza mbona fulani kafanya baya hili hajafa, wengine watasema je, kila anayekufa anaadhibiwa na Mungu.
Hayo jijibu wewe mwenyewe ila jua tu kila mtu atapata stahiki zake kwa wakati wake.
Nikuthibitishie kisayansi, kijamii au kiroho?Tuthibitishie kuwa Mungu alitumia Covid-19 kumwadhibu Magufuli.
Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko.
Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho.
Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu.
Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu.
Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania yamtafute na kumuua.
Yaliua watu wake wa karibu kwanza na yalipomuua muhusika mkuu ambaye ni Magufuli Mungu akayaondoa mapepo ya COVID-19 Tanzania.
Apart from mihemko, huu ndio ukweli nilioupata kitini kwa Mungu.
Kama ninadanganya basi Mungu wa mbinguni anihukumu Mimi.
Ningeandika ya kwangu au ya kusadikika ningelijibu kila post kutetea Uzi wangu lakini sitafanya hivyo.
Wapo watakaouliza mbona fulani kafanya baya hili hajafa, wengine watasema je, kila anayekufa anaadhibiwa na Mungu.
Hayo jijibu wewe mwenyewe ila jua tu kila mtu atapata stahiki zake kwa wakati wake.
Nilikuwa najaribu kujifikirisha zaidi. We are missing the real CHADEMA of the likes of Kamanda Mbowe, the 20 Great Lady MPs of the 11th Parliament , Godbless , Wenje & the other colleagues who Made CHADEMA Relevant and a Force to recon with in the Political Map of Tanzania. After New leadership- NOTHING ! Leaders are Born, Not Made ! Kamanda was a Born Leader !Mkimtoa huko mliko muweka ndiyo tutakupa jibu zuri
20 years of chairmanship VS 3 months of chairmanship
Kiongozi wa upinzani kwa awau 4 VS kiongozi bila upinzani wa vyama vingi ambao CCM imeufuta kwa kutofuata katiba ya nchi
Mnaongoza nchi kwa mfumo wa unyumbu wa kisiasa
Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi kwanjia ya kujipendekeza ama kwa uoga wa kuigiza kwa viongozi wenu, (unafiki), a.k.a kujizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of working towards group objectives or their personal gains through unbecoming behaviors such as flattering or hypocrisy similarly to working towards self-absorbed groupNilikuwa najaribu kujifikirisha zaidi. We are missing the real CHADEMA of the likes of Kamanda Mbowe, the 20 Great Lady MPs of the 11th Parliament , Godbless , Wenje & the other colleagues who Made CHADEMA Relevant and a Force to recon with in the Political Map of Tanzania. After New leadership- NOTHING ! Leaders are Born, Not Made ! Kamanda was a Born Leader !
Vyovyote vile ambavyo jamii itakuelewa.Nikuthibitishie kisayansi, kijamii au kiroho?