johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Polepole ni zaidi ya Nape bwashee!Nape alikua zaidi yake but yuko api now??
Vyeo huja Na kusepa
Tusipeleke mambo too far
Watakubali tu,kwani ccm si ndo hao hao watanzania kama wengine tuNi vigumu CCM kukubali kushindwa
Nenda kamwambie Polepole kuwa tumewahi ku-deal na mhuni mmoja anaitwa Nape!Polepole ni zaidi ya Nape bwashee!
Ole wake!Na wewe siku hizi unasombwa na udaku wa Polepole? Lissu kasema hawezi kwenda tume kwa taarifa za mitandaoni au hilo linahtaji Elimu gani kuelewa alichomaanisha?