CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Mkuu tonge linaelekea kudondoka mdomoni,kuchanganyikiwa ni lazima.Kwanini Polepole anatumia nguvu nyingi sana? kilasiku nyuma ya mikamera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tonge linaelekea kudondoka mdomoni,kuchanganyikiwa ni lazima.Kwanini Polepole anatumia nguvu nyingi sana? kilasiku nyuma ya mikamera
Kwakimbo watu wa aina hiyo huitwa 'unscrupulous 'Mkuu tonge linaelekea kudondoka mdomoni,kuchanganyikiwa ni lazima.
Nguvu ya walio vimbiwaNguvu ya umma vs nguvu ya waliokula wakashiba wakavimbiwa.
Kiasi cha kuisemea tume..!?Polepole ni zaidi ya Nape bwashee!
Polepole siku hizi ni msemaji wa tume?
Hii ni Tume ya ccm.Polepole ana nguvu gani kisheria ya kumwambia mtu ole wake, kwani yeye ni mtumishi wa NEC.
Ole wake!
Inawezekana kwa jina ni tume ya uchaguzi ila kiuhalisia ni tume ya ccm lenye kusimamia uchafuziHuyu asiyejulikana ni mzee ama kijana yupo sawa kweli? Lissu kasema hajapata barua rasmi toka Tume ya wito sasa cha ajabu ni kipi? basi kama anayo aipeleke yeye. Lissu ataogopaje kwenda Tume kama ana formal letter ya wito?
Mzee hii ni Tume ya Taifa ya uchaguzi ina kanuni na maadii yake na si tume ya CCM.