Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

CCM ni sawa kabisa na "gangsters' paradise" ambapo roho zote chafu zenye kuhamasisha wizi, ufisadi, ushirikina, ufedhuli, udhalimu, ichu wa damu za watu, uonevu, dhuluma, uzinzi & uasherati, matendo ya kishoga, uongo, tamaa mbaya, ulevi wa madaraka na mambo mengine yenye kufanana na hayo.
 
Mahela asidanganywe na Polepole. Lissu lazima aitwe kwa kupelekewa ujumbe maalumu ... prifarablly kwa barua. Hii ya kwenda kwenye TV na kudai fulani afike kituoni by siku fulani ni ya Kipolice...... Tume should do better than that!!
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lisu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani ni mwenezi wa tume au ccm?
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lisu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Polepole naye anaitisha Tume kama nabi! Tofauti ya TL na Polepole ni ipi sasa, maana wote wameishukia Tume. Nasubiri hatua za Tume kwa Polepole na CCM yake.

Vv
 
CCM ni sawa kabisa na "gangsters' paradise" ambapo roho zote chafu zenye kuhamasisha wizi, ufisadi, ushirikina, ufedhuli, udhalimu, ichu wa damu za watu, uonevu, dhuluma, uzinzi & uasherati, matendo ya kishoga, uongo, tamaa mbaya, ulevi wa madaraka na mambo mengine yenye kufanana na hayo.

Wewe huifahamu Chadema, uliyo taja juu hapo ndio Chadema inasimamia na kurusu hali hiyo. Chama kimejaa machoko na wasagaji nanihii, nifikishie salamu za uchaguzi na utambuzi kwa Ester na Halima.
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lisu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
CCM mnajitekenya na kucheka wenyewe eti? Wapuuzi sana ninyi.
 
Attachments

  • Tume Huru.jpg
    Tume Huru.jpg
    20.4 KB · Views: 2
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lisu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Polex2 a once independent analyst who has undergone a complete metamorphosis and become a dangerous corruption Margot with a brain of a bird!
 
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lisu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take; Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
Na kama ataendelea na jeuri yake kampeni zake zisitishwe asituvurugie nchi.Shetani anaweza kutujia kwa namna yoyote ile hata kwa sura ya kibinaadam kama hivi.
 
Wewe huifahamu Chadema, uliyo taja juu hapo ndio Chadema inasimamia na kurusu hali hiyo. Chama kimejaa machoko na wasagaji nanihii, nifikishie salamu za uchaguzi na utambuzi kwa Ester na Halima.
Safi. Kama kuna chama cha kipuuzi ni Saccos ya Chadema. Kuanzia mwenyekiti wao mpaka wanachama tabia zao zafanana. Mwenyekiti mpaka akavunjwa mguu, alipotoka kula vitu maalum. Huko kwenye chama, nafasi ya bure hamna lazima utoe hela au ufiche mtu kwenye sketi. Enough is enough, watanzania tumewachoka kabisa usanii wenu.
 
Back
Top Bottom